Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Maneno aliyotamka huo bibie ndio uhalisia wa ulimwengu wa Sasa....ndio mfumo ulioandaliwa ili kuuangusha uanamume Duniani....na huo mpango unaratibiwa na mashirika mbali mbali Duniani na fedha nyingi zinatumika kufanikisha Hilo Kwa kutumia NGOs mbali mbali......

Hizi ni nyakati ngumu sana kwa wanaume....ipo vita ya kimya kimya inayopiganwa ili kuondoa mfumo wa kiume Duniani.......

Mfumo huo unaanzia ngazi ya familia mpaka kwenye sheria za serikali......kila sehemu mwanaume amewekewa vikwazo na akisema ajitetee hata Kwa kuongea anaaambiwa anamkandamiza mwanamke.......

Matokeo yake Sasa hivi wanaume tumebakia wapweke hatuna pa kusema.....kisemeo chetu ni chupa za bia na pombe kali na kwenye mechi za ligi mbali mbali....huko ndiko ambako kidogo tunaweza walau kutabasamu.........

Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kuwa hichi wanachokipigania ni ndio shimo lao la maangamizi.....muda utaongea....
Ni Kweli Hata wachungaji wanawake Naona wameongezeka sana. Yaani vidada Kila kukicha vinapewa uchungaji kinyume na maandiko ya Biblia na Hata Mila za jamii zetu za Kiafrika ,kiyahudi na Kiarabu ambapo ndipo lilipo chimbuko la Ukristo .

Wachungaji wanawake wanashindana kuweka mawigi kichwani na marasta . Ni uasi mtupu Wa Sheria na kanuni za asili na miiko ya kidini . Hakuna kuhani Mwanamke. SIO Kwamba Mungu hawapendi wanawake la hasha Bali ni mgawanyo Sahihi Wa majukumu.

Wanasimamia vimistari vichache vya Biblia kuhalalisha uzungu na Mila za Kizungu wakati wazungu hawajawahi kuwa na Nabii Wala Mtume tangu kuumbwa Kwa dunia. Mitume ni Waafrika na Waarabu na Wayahudi . Na Biblia na koran limeweka Wazi majukumu ya Mwanamke na Mwanaume.
 
Kwahiyo kwa research yako unaona wanaume wananyanyasika kuliko wanawake?
Ni Kwamba NAFASI na mafanikio waliyonayo wanaume wangekuwa nayo wanawake Dunia ingekua Jehanam mapema zaidi kabla ya Hukumu kuja?

Jiulize tu wanawake wanavyo wanyanyasa wadada Wa KAZI ! Unakuta dada Wa kazi anajitahidi kumfulia mpaka nguo za ndani na kulea watoto lakini Ikitokea Siku moja akazidieha Hata Chumvi kwenye chakula au akapoteza Hata elfu Tano ataomba Dunia ipasuke azame.

Wanawake wenye mafanikio kidogo tu wanavyowatesa mama wakwe zao ,. Wanawake wenye pesa kuliko waume zao kamwe hawawezi kukaa na ndugu Wa Mume Kwa Amani hasa mawifi. Tofuti na wanaume wenye pesa wanakaa na Hata ndugu Kumi Wa upande Wa MKE Tena Kwa upendo mkubwa sana. Wanaume wengi wanawajali sana mama wakwe zao na kuwaona kama Wazazi Tofauti na wanawake. Ikatokea Mwanamke anapesa na ndio anatoa pesa kuliko mume basi Hata ndugu Wa mume hawatatakamiwa kukanyaga Hapo na wataonyeshwa Kila aina ya joto ya jiwe?
 
Oa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.
Old skool men,Wanapenda kutumia amri tu,hawawezi kujenga hoja,wapo wanawake anaingia kwenye ndoa tayari ana pesa yake ndeefu,huyo lazima ujue akili ipo sana,huwezi kumpeleka peleka kama gari bovu
Sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke anaongea peree pere pere kama unavyoongea wewe alafu ikadumu.Mara nyingi inakuwa matatani.

Umeolewa na mume wako hujaolewa na pesa kwahivyo lazima umuheshimu na umtii anachokitaka.Kama hutaki kumtii uliolewa na yeye wa nini.

Ukiona mwanaume anarudi unampigia makelele na haongei chochote ujue hapo hakuna mapenzi Tena ila mazoea unaweza ukachepuka na asikufanye chochote.

Kama ndyo utakavyowafundisha watoto wako wa kike washupaze shingo Kwa Waume zao ujue unawaharibu na huwajengi.Tena unaweza ukawa chanzo Cha ndoa za watoto wako kuvunjika sababu unashauri wawapande hao Waume zao vichwa kisa elimu.

Mwanamke mwenye elimu na asiye mnyenyekevu ni Bora la Saba ambaye ni mnyenyekevu na mtiifu Kwa mwanaume.
Na inapendeza Sana.

Hiyo elimu inawadanganya Sana kwamba mnatakiwa kujiona wanaume ondoa hayo mawazo potofu.

Utajua hiyo elimu Haina furaha Tena pale unapoachwa na kuwa Singomama kulea watoto pekeyako.

Elimu changanganya na utiifu na unyenyekevu Kwa Mumeo.Kama ulikubali akuoe kwanini unakataa kumuheshimu na kumtii na kumhudumia.
 
Hakikisha mkeo anakutegemea kwa Kila kitu hata chupi ununue wewe bro heshima utaipata.imagine mwanamke amenunua gari lake mda wowote anatimka kusiko julikana hapo huna mke utashuhudia dharau mpk bas.
🤣🤣🤣 Sasa mke akileta dharau wewe umezuiwa kumpiga chini na kuchukua mke mwengine?
Mambo mengine tusiya complicate bwana.
 
Huyu anaamini kuwa free kipesa ndo kumdharau mme wako?Binafsi ukiwa free kipesa ni kusaidiana katika majukumu. Na si kumdharau mwenzako. Sema wanawake wenye ndoa za kikristo wengi wanadharau,wanajua mme hawezi ongenza mke mwingine.
🤣🤣🤣🤣 Aisee eti kusaidiana katika majukumu🤣🤣🤣 kwenye marimba ya mdhungu mnachaoa kirahisi tuu njoo sasa kwenye reality ..utaingia mkenge.
Kuweni wakweli nyie wanawake katika kusaidia majukumu ni zero kabisa.
 
Kuna wanaume wanapitia tanuru la moto kwenye ndoa zao asee.
Ujinga wao wenyewe. Mke akileta ujinga fukuza chukua chombo nyingine. Wakati wote mke akiwa kwenye ndoa atambue kuwa anaweza kuwa replaced. Ndio maana ni muhimu mke ajue kuwa una mcheps. Usimfiche kamwe
 
Huyo mdangaji tu hapo ni magonjwa utaletewa nyumbani means hata kifungua kinywa hajamwandalia sio kwa kumdhalulisha mumewe alivyopoteza mamlaka kwake

Hivi nyie wanawake wapumbavu nani alikuambia ukiwa na pesa mumeo hawezi kukuambia kitu?

Clouds watoe ufafanuzi kuwa huu ndio mrengo wa initiative yao.
ova
 
Km pesa ninayo, gari yangu na mafuta najaza mwenyewe, kila kitu najifanyia mwenyewee, sasa naanzaje kuagq?? Baba tamu atapewa taarifa tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman tutafute pesa, ndo raha ya kujitegemea unakua HURU.
iyo ni pesa ila kuna familia ambayo lazima mmoja awe juu kama kiongozi.

Mda sio rafiki hata izo outing ni swala la mda na ni ujana tu ili kutafuta attention kuna mda utazeeka ngozi ya uso itakuwa imekunjana kama goti na hauna swaga kabisa kifuani ndo pamelala kama ndala za gesti ..Gema ishakutupa mkono hapo ndo utajua familia ni nn.

cycle yenu ni ndogo sana ila mnaweza kuenjoy uzeeni kama mtaitumia vizuri
 
Back
Top Bottom