Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Wanaume wepi hamsemi semi? Nyie nyie au mnawaongelea wa sayari nyingine? Na inawezekana pia hana mchepuko na wanaheshimiana na mkewe vizuri tu na wala hana shida na kupewa taarifa. Taabu ni kwenu wapenda kuagwa sasa🤣🤣 sijui mmekuwa maiti🙆🙆🙆

Issue ni ametoa taarifa, hajaondoka bila kutoa taarifa and thats what matters. Mtu mzima anatoa taarifa, watoto ndio wanaoaga.
Ndoa ni taasisi inayo jumuisha upendo na utii. Hata mafundisho ya ndoa haya elekezi mwanamke atoe taarifa bali anatakiwa kuomba ruhusa kwa mume, then mume kama kiongozi na kichwa cha familia ataona inafaa au haifai kupewa ruhusa.
 
This is inappropriate! Kama mtu kwake kunafukuta hahitaji kuhamasisha na kwa wenzio kuungue!

Young girls hawatakiwi kuambiwa haya, wanatakiwa wafundishwe kuwa na uhuru wa kipato, na pia wajifunze kuwa wake wema kwa waume zao, is that too much to ask?

Lazima tuelewe kuwa kwa kufuata utamaduni ambao si wakwetu, tunajikomoa wenyewe, tunakomoa our own future!

Binafsi nawaza sana, yawezekana kabisa wazazi waliolea watoto wao vyema wanapata shida sana kuwaoza watoto wao kwa vijana ambao hawajui upbringing yao, imagine uoe binti wa huyo mama ambaye kwa bahati ambaya asiwe an independent thinker!
Wanawake wa humu wangekuwa na akili, wisodm kama wewe ingekuwa safi.. kupitia huu uzi taka taka kibao zimeonekana
 
Saa nyingine mume wake kajionea sawa tu sababu ndo wameshajizowesha hivyo.

Nionavyo ieleweke kwamba kila ndoa ina style yake.
Hapo anazungumza na mume wake ? Anachofanya hapo kuifundisha jamii, iwe hivyo ambayo sio fundisho sahihi la ndoa. Hata kama anaishi hivyo na mume wake haitakiwi maisha yake wayaishi jamii, jamii inapaswa fundishwa mafundisho sahihi tu, na sio upumbavu kama huo
 
Huyu kama anaweza kumdharau mume wake wazi wazi hivi, atatutreaty vipi akina sisi? Charity begins at home! Ukishindwa kuyajenga nyumbani kwako huku mitaani hata ukijifanya mkarimu na mpole kiasi gani tunajua tu unatuigizia. Kuwa na pesa haikupi tiketi ya kumdharau na kumpanda kichwani mtu yeyote sembuse Mume?

Sisi wenyewe we are not perfect, ila hatujafikia level ya kuhamasisha jamii upumbavu. Huyo mwanamama aambiwe ukweli kuwa ametoa boko!
ebu ingie mahala agiza chochote nitumie LIPA NAMBA
 
ni mpumbavu tu huyo mwanamke. kwanza mwanamke mwenye mume hawezi kuzungumza maneno kama hayo mbele za watu.

pili hata ukimsikiliza upangilianji wa maneno na sentensi ni wazi kichwani yuko empty mtupu kabisa
Kuna makalai hayaoni tatizo hapo. Inasikitisha sana, kwanza ni aibu kwa mume wake na familia kutokana na hizo kauli.
 
Huyo mdangaji tu hapo ni magonjwa utaletewa nyumbani means hata kifungua kinywa hajamwandalia sio kwa kumdhalulisha mumewe alivyopoteza mamlaka kwake

Hivi nyie wanawake wapumbavu nani alikuambia ukiwa na pesa mumeo hawezi kukuambia kitu?

Clouds watoe ufafanuzi kuwa huu ndio mrengo wa initiative yao.
ova
Wanapiga hela kupitia huo mradi wao wa Superwoman. Nafikiri kuna mkoba wa hela kutoka states unaofadhili hizo Campaign.
 
anaongea mataka taka yake public, huyu angekuwa wangu ningempasua na ndio ungekuwa mwisho wa ndoa. Mpumbavu kabisaa huyo mama, anaongea hayo public ili iweje ? Hovyoo kabisa
Anamdhalilisha mumewe huku akitaka kuwaonesha kuwa kwao wameridhiana kuishi kwa style hio. 😀😀😀!
Ila kifupi ni mashudu matupu.
 
Anamdhalilisha mumewe huku akitaka kuwaonesha kuwa kwao wameridhiana kuishi kwa style hio. 😀😀😀!
Ila kifupi ni mashudu matupu.
Hasara tupu na mashabiki wake ni walio shindwa ndoa na wasio dumu kwenye mahusiano kutokana na tabia chafu ndio unaona wana muunga mkono hata humu.. haya majitu bomu
 
Back
Top Bottom