Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

Nikurudishe kwenye Biology ya Kidato cha Nne.

Mume .................... Mke
tt .................... TT

Watoto watakaozaliwa ni Tt

Kwa kuchanganya hivyo mbegu, huyo Mume mfupi aliyeoa Mke mrefu, amelenga kupata watoto warefu (Heterozygous Tall) kupitia Mke wake na sio Aibu unayodhani ipo.
 
Kwani umetumia nini kujua kama mimi ni mrefu au mfupi? Tunachangia mada ya mtoa mada na kumtoa kwenye mtamazo wake alio nao
Hapa tu yenyewe nimekutania lakini umeshapandisha hasira 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…