Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Bila picture 🖼️ huu uZi ni batiliii 😆😁😂😂😃🤓🤣😅
 
Naona umetoa lile lipicha lako la kitambi ....umeweka umevaa kofia ili watu wasijue wewe mi mlemavu wa nywele kipara nywele hazioti
Wewe sio bure nitakuwa nilipita na demu wako uliyempenda mimi sijui ... ila sikuchukii kabisa najua ww hujui ulitendalo ww ni mlemavu wa akili madawa ya kulevya yamekumaliza
 
20250829_194631.jpg
 
Back
Top Bottom