Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

Hivyo ndiyo inapendeza sasa wanaume warefu waoe wanawake wafupi na wanawake warefu waolewe na wanaume wafupi
 
hio Sio Shida ila Mwanamke Akikuzid Pesa Na Umri
inaweza Kulata shida Sana sometimes, Kama Vile Dharau
 
Siku ukimvuruga unakula makonzi 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…