Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Hahahahaha, yaani hivyo tu umetongozwa,anashindwa nini kuongea kiini?
Kiini ni kipi unachotaka kusikia? Ama lile neno "Nakupenda" ili baada ya hapo uanze mbilinge mara "nina mtu wangu", "yani umeniona leo tu unanipenda mbona maajabu?"
 
😂mi simo!
 
Konki Liquid atabaki kua mawinguni..naendelea kusanifu coments zenu
 
Hahaha hii atakuanika part 2
Tatzo ukijibebisha sana wanakuona zezeta, sasa ni mwendo wa live bila chenga kujibebisha ni kitandani sio kwenye mtongozo.

Raha tupate wote alaf mm ndo niwe mliaji liaji kuomba nikupe raha?
 

Wanawake wengi wajanja wanajiongeza mapema, sikujui hunijui nakuomba namba unadhani nataka nini?maana yake nimekuelewa kama hujanielewa usinipe namba yako tunaishia hapo

Huyu niliyenae sijawahi kumtongoza kwa maneno mengi tulikutana mahali ninapiga tungi akaja na rafiki yake, nikamuelewa nikaomba namba, kesho yake nimemcheki kaniuliza niko wapi tukaarrange kukutana jioni, tumefahamiana hiyo siku maongezi ya kawaida tuu, siku ya tatu vikojoleo viko kazini
 
kuna dem juz nmemla bila kumtongoza nilichomwambia nataka tuonane alipofka akapelekwa geto akaliwa mzgo na namba yangu kama kawaida
 
Siku Hizi wanawake wamejaa Facebook. Chat messenger Kwa mda then mwite mpenzi, my , au unaomba mzigo moja Kwa moja. Baada ya message unasubiria reaction. 90% ya reaction zao huwa wanakubali bila shida Simplest method. Facebook imerahisisha mambo ya kutongoza
 
Nilichosema ni ukweli mtupu.
Kweli kabisa wanaume sasa hivi hawatongozi sijui hawajiamini?
Sasa teknolojia imerahisisha mambo lazma tubadilike nayo. Ntataka kujua interests zako ntakuweka karibu nazo then kama ukijiongeza mnaanza penzi.
Ile ya kuanza kuimbishana na kuzungushana hailipi sikuhizi wakati kuna muhuni anaweza akwambia tu flani unajua nakuona long time sio siri upo sexy sana, nataka weekend moja nikakufanye ujiskie raha ya pekee ambayo hujawahi pata. Pls! Hapo muhuni kamaliza anakukazia macho tu unalegea utadema dema ila huchomoi.
Yani kutongoza hakuna formula kabisa, hasa mwanamke akiwa anakuelewa ndio inarahisisha,,,,unaweza hata mmbananisha kwenye kona ukapapasana nae ukamla chap! Au unamjulia julia hali tu after a while unamuita sehemu ya faragha tu kama anakuelewa hatobisha anajua unaenda kumla.
 
Nani kakwambia siku hizi tunatongozana watu wazima hawatongozani unasoma ramani zikikaa sawa unakula mzigo
 
Mpenzi Khantwe hebu njoo mpe neno kidogo huyu.
 
Kutongoza ni sanaa, hivyo haiwezi kuwa na universal formula.
Cha msingi ni kwamba unapotongozwa na mwanaume unaempenda hata atumie njia gani huoni kama ni kero.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa mkatili kishenzi
 
Inshort ulichosema ni hakika kabisa, me current bebe wangu alianza kunipenda yeye akanipa greenlight nikawa nimemuelewa pia tukajikuta wapenzi. Hakukuwa na kutongozana. Sikuwa na chochote kusema cha kumrubuni alinipenda jinsi nilivyo tu na lifestyle yangu.

Mapenzi ya hivyo ndio naimani nayo zaidi kuliko mapenzi ya mie kumfata mwanamke na kuanza kumbembeleza hadi anielewe. Most of those relationship zinakuwaga na asili ya unafiki maana unaeza kubaliwa tu ila kimsingi hupendwi inapendwa hali yako.

Mwanamke anaezungusha sana kwenye kutongoza ama ku demand umtongoze na usumbufu mwingi anakuwa hajakupenda huyo na akikubali jua anakupumzikia tu. Akipata wakumpenda lazma akubwage kwa vitimbi.
 
Hahah huyo alikuwa zaidi ya kiboko, yani mwanamke unaanza kumbato tu baada ya kumshika. Huyo mtu anakujua vyema kweli au ndio beki 3 wenu?


Rafiki tu mtaani tukazoeana akiwa na nyegezi natia to the maximum na anatulia
 
Kuna mdada alikujaga saloon ya kiume,

Alimleta mtoto kunyoa, so wakati yule mtoto ananyoa mi nikawa naongea na uyo mdada

Hata sikumbuki nilimwambia nn muda huo nikamshika mkono nikaenda kujipigia na at sent sikumpa[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hi tuliipa jina la "formula ya ghafla" kwenye kikao chetu.
 
Kuna mdada alikujaga saloon ya kiume,

Alimleta mtoto kunyoa, so wakati yule mtoto ananyoa mi nikawa naongea na uyo mdada

Hata sikumbuki nilimwambia nn muda huo nikamshika mkono nikaenda kujipigia na at sent sikumpa[emoji3]
Eehe bhasi balaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…