Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Tupo wengi
Kama wanaume wanavyogeuka wakipisha na mdada mwenye chura namm nikipisha na mkaka mwenye dimpoz naeza gongwa hata na gari
Mi ninazo ila machoni angalia avatar yangu
 
Hunifikiii mm yan namwangalia mpaka basiii mapigo ya moyo yanaongezekaaaa
Huyu nimekutana nae Jana kelele humu JF tu, ana aibu Huyu, nimemshika mkono namwambia mi zombi wa JF anarembua tu na kutazama chini.
 
Kwan kuna mtu ananibebea kitumbua wallah

Asante kwa povuuuuuuu nimelipata nitafulia vyup vilivyotoboka
Duh !!! si kwa majibu hayo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nahisi ukakasi asee! Mie huwa siwaelewi hii jinsia huwa inataka Nn?? Pesa, dushe kubwa, kibamia, uhandsome, sura ya kazi au kitu gani sijui huko!! Maana niliwahi kukutana na mademu kadhaa wakawa wanasema madume wanaowataka wao ni wale wenye sura ngumu Ila wallet zao ziwe laini kuliko pamba!
Ukiona hivyo wanapenda mahandsome ina maana wanaume wabaya mpaka wawe na wallet iliayonona

Jibu wanapenda pesa zao sio wanaume

Mm napenda mwanaume hata kama hana pesa ila awe handsom
 
Back
Top Bottom