Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu nimekutana nae Jana kelele humu JF tu, ana aibu Huyu, nimemshika mkono namwambia mi zombi wa JF anarembua tu na kutazama chini.
Kwa mambo haya kanisan Huez kukumbuka kwenda wallah!Sijaingia church msema kweli mpenzi wa mungu
Siwez kudanganya
.Aiseeeeeeh !
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.
Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa
![]()
Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss(cha mdeko)
Nasubiri uniambieNitakwambia tu nataka nn
Mm nitajijuaje kama mzuri sasa si mpaka nisifiwe na yule atakayenionaAaah hapo sawa nilidhani unatuponda sisi wenye sura mbaya kana kwamba wewe ni sura nzuri wakati we ulifanana na baba yako[emoji1] [emoji1]
Beira Boy chukua kreti la soda nakuja kulipiaWengi wa hivyo wanakuwaga wametatuliwa linda, nahis hata hapo amekaa akisubil atatuliwe linda
Sio kila kinyaacho ni dhahabu
Afu acha kuita wanaume wana sura mbaya wewe siyo Muumba
LONDON BOY
Ananiona sio kidogo haka kamji kadogo wakinikamataHahaaa kivuruge Mungu anakuona
Nimecheka mpaka nimelia asee daah hii kiboko
Kweli kabisa ukitaka uishinkwa raha na mwanamke awe amekupenda tu mbon autaona hii dunia yakooo
Mwanamke akikupendea kitu aisee sikunkikiiisha atakukimbia balaaaa
Napendaga Sana nikimnyong'onyesha mdada machachari. Wakilainika Hawa maneno yakiisha wanakuwa very erotic.asiwatishe humu, nilivyomuona Jana first glance, Nico wale ukimwingiza room huyu, analalamikia puani tu,"jamani, we mbona hivyo, usinishike hivyo,halafu usiniangalie machoni Kwa mda mrefu hivyo".Mxeeeew zako nakwambia wewe ndo ulitetemeka na lisura lako libayaaa kama speaker za club