Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ushangae mm nawaambia ukweli wananipa mapovu mm mwanamme kama simpendi hata kufurahia penzi siwezi
Mapenzi upendo pesaa motisha tu
Si tunakusifia tu kwa sababu una uke ila ile kuwa romantic ni hamna kitu........ngoja waje wakusifie ila sisi tunaokufahamu wala huna guts za kuponda wanaume wenye sura ngumu[emoji1] [emoji1]Mm nitajijuaje kama mzuri sasa si mpaka nisifiwe na yule atakayeniona
Mm huyo kwangu ndo handsome ndo maana nimemsifia
Mm pesaa ninazo za kutosha so kwann nijinyanyase nafanya kitu roho inapendaaDemiss kumbuka kun watu wana nyota ya kuchunwa inabidi uwaelewe tu
Kwahiyo wewe unataka nisifie kitu ambacho sikipendi wallah huwez badilisha mkuuuSi tunakusifia tu kwa sababu una uke ila ile kuwa romantic ni hamna kitu........ngoja waje wakusifie ila sisi tunaokufahamu wala huna guts za kuponda wanaume wenye sura ngumu[emoji1] [emoji1]
Mm pesaa ninazo za kutosha so kwann nijinyanyase nafanya kitu roho inapendaa
Mwanaume nikimpenda kweliiii
Mm pesa haina nguvu kwenye kupenda
Yan huwa nateseka kudate na mwanaume ambaye sijampenda hata kidogoo huwa nateseka nafsi sina raha ya kuwa nayee
Mateso sitaki
kama w unavoandika upuuz utatumika sana wwKoment yako inanuka ushuzi unaniletea harufu kwenye uzi wangu
Nishajua mwonekano wako!Aiseeeeeeh !
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.
Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa
![]()
Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss(cha mdeko)
Hongera kwa kusifia unachopenda,sinaga tabia ya kuandika uzi mimi endelea tu kutuponda sisi sura ngumu ila sisi ndo huwa tunapiga mambo kiukweli hao wenye sura nzuri wengi ni mashoga.....yaani linakupumulia kwa bao 1 au 2 baadae nalo linaenda kupumuliwa na wengine[emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kwahiyo wewe unataka nisifie kitu ambacho sikipendi wallah huwez badilisha mkuuu
Aisee kumbe unanijua naomba uniandikie uzi basi maana hapa watu wataona wachache
Unaona, this is the type, nje matata, ndani moyoni soooft. Machachari mpaka midume inaogopa kusogea lkn anayesogea anafaidi kwelikweli. Watu wanabaki kusema Yule jamaa amefuata nini pale, demu pasua kichwa. Aahh [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mm pesaa ninazo za kutosha so kwann nijinyanyase nafanya kitu roho inapendaa
Mwanaume nikimpenda kweliiii
Mm pesa haina nguvu kwenye kupenda
Yan huwa nateseka kudate na mwanaume ambaye sijampenda hata kidogoo huwa nateseka nafsi sina raha ya kuwa nayee
Mateso sitaki
OvyooooAiseeeeeeh !
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.
Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa
![]()
Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss(cha mdeko)
hhhhhhh siku ukinijua unaweza hata kuzimia....na sura ya kiume na ya kazi Zaidi co sura ya kishosti shotiUtawajua tu wenye misura yao kama sambusa za viaz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan ana makengeza akiona mtoto mzur unaweza kuhisi amuangaliii kumbe anazungusha kengeza lake kama mshale wa saaaaa
[emoji377][emoji377][emoji377]siachi
Khaaaa hongera tu baasi, nikajua ndo unanifuata pyem