Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Hongera kwa kusifia unachopenda,sinaga tabia ya kuandika uzi mimi endelea tu kutuponda sisi sura ngumu ila sisi ndo huwa tunapiga mambo kiukweli hao wenye sura nzuri wengi ni mashoga.....yaani linakupumulia kwa bao 1 au 2 baadae nalo linaenda kupumuliwa na wengine[emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Siwez kulazimisha moyo siweziiii kamweeee siwez narudia tena siwezzzz
 
Unaona, this is the type, nje matata, ndani moyoni soooft. Machachari mpaka midume inaogopa kusogea lkn anayesogea anafaidi kwelikweli. Watu wanabaki kusema Yule jamaa amefuata nini pale, demu pasua kichwa. Aahh [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ndo hivyooo mkuuuu nikishapenda pesaa haina nafasi upendo na hisia ndo kinachotawala kuleta amani
 
[emoji23] [emoji23] sio taifa tu,hata kukujenga wewe pia.
Labda mpige marufuku hii[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Ndo mtanijengaaa mm nabadilika kama kinyonga
 
Nilikua nawaza jibu la kukupa ila niliposoma hii sentensi nikaona haina haja tena ya kuendelea kuwaza jibu!

Pole sana kwa maswahibu ya maisha.
Nakushangaa mtu mzima kisheti kufatilia mambo ya wanawake

Forex ndo type yakoooo

Achana kabisa na wavuta ganja pambana na Forex tu

Mtu mzima kama wewe kupita kwenye nyuzi kama hizi unajishusha heshimu kubali tu kupokea kile ulichokipata mxeeew
 
Kuna wanaume wengine wanakuona wewe mrembo, sijui unawaambiaje?
 
Mm mtoto nikiwa mkubwa nitaacha

Ukiona mtu mzmaa anapita kwa watt inabid na yy akubali hali halisi

Ngoma droooo
Mtu mzima akiona sehem za wakubwa zinachezewa na watoto bila staha lzm aseme jambo.

Sijui ni ushamba wa mitandaoni, utoto au ulimbukeni lkn bado nakusisitiza kwamva kwa tusio penda ujinga sehem za wakubwa lzm tukemee
 
Back
Top Bottom