Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Tupo wengi
Kama wanaume wanavyogeuka wakipisha na mdada mwenye chura namm nikipisha na mkaka mwenye dimpoz naeza gongwa hata na gari
Mi ninazo ila machoni angalia avatar yangu
 
Hunifikiii mm yan namwangalia mpaka basiii mapigo ya moyo yanaongezekaaaa
Huyu nimekutana nae Jana kelele humu JF tu, ana aibu Huyu, nimemshika mkono namwambia mi zombi wa JF anarembua tu na kutazama chini.
 
Kwan kuna mtu ananibebea kitumbua wallah

Asante kwa povuuuuuuu nimelipata nitafulia vyup vilivyotoboka
Duh !!! si kwa majibu hayo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ukiona hivyo wanapenda mahandsome ina maana wanaume wabaya mpaka wawe na wallet iliayonona

Jibu wanapenda pesa zao sio wanaume

Mm napenda mwanaume hata kama hana pesa ila awe handsom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…