Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Huyu nimekutana nae Jana kelele humu JF tu, ana aibu Huyu, nimemshika mkono namwambia mi zombi wa JF anarembua tu na kutazama chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ana maneno mengi humu tu?
 
'Mwanaume ni sharti amvutie mwanamke' mwisho wa kunukuu
Kweli kabisa ukitaka uishinkwa raha na mwanamke awe amekupenda tu mbon autaona hii dunia yakooo

Mwanamke akikupendea kitu aisee sikunkikiiisha atakukimbia balaaaa
 
Huyu nimekutana nae Jana kelele humu JF tu, ana aibu Huyu, nimemshika mkono namwambia mi zombi wa JF anarembua tu na kutazama chini.
Mxeeeew zako nakwambia wewe ndo ulitetemeka na lisura lako libayaaa kama speaker za club
 
.
 
Naona mindevu tu apo na makengeza
Yan ana makengeza akiona mtoto mzur unaweza kuhisi amuangaliii kumbe anazungusha kengeza lake kama mshale wa saaaaa

[emoji377][emoji377][emoji377]siachi
 
Aaah hapo sawa nilidhani unatuponda sisi wenye sura mbaya kana kwamba wewe ni sura nzuri wakati we ulifanana na baba yako[emoji1] [emoji1]
Mm nitajijuaje kama mzuri sasa si mpaka nisifiwe na yule atakayeniona

Mm huyo kwangu ndo handsome ndo maana nimemsifia
 
Najua umevutiwa na kifua na hilo body la fuso..... ila nikitokea mimi hapa na body langu la Passo na vihela vyangu utanifata......
 
Hahaaa kivuruge Mungu anakuona
Ananiona sio kidogo haka kamji kadogo wakinikamata

[emoji125][emoji125][emoji125]watanikeketaaaa kitumbua waallahh



Ooooo my papuyeeee jaman

[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwa mambo haya kanisan Huez kukumbuka kwenda wallah!
Mungu anisamehe tu jaman khaaa majaribu haya


Wananitoa roho[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Mxeeeew zako nakwambia wewe ndo ulitetemeka na lisura lako libayaaa kama speaker za club
Napendaga Sana nikimnyong'onyesha mdada machachari. Wakilainika Hawa maneno yakiisha wanakuwa very erotic.asiwatishe humu, nilivyomuona Jana first glance, Nico wale ukimwingiza room huyu, analalamikia puani tu,"jamani, we mbona hivyo, usinishike hivyo,halafu usiniangalie machoni Kwa mda mrefu hivyo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…