Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Eeeh
 
Kweli tumetofautiana mtoa posti anaapenda wanaume wazuri. Kidume hapa nikikutana na demu ana sura ngumu tena awe na machunusi kama limao huwa niko taabani tena awe na shape kama PAPAI ananimaliza kabisa si mchezo.
Chai
 
Acha umalaya na ndoto za mchana. Usitamani mali ya mwenzio mwanangu.
 
Uliepost uzi huu, ambatanisha ka picha kako nami sura ngumu nitoe ya moyoni
 
Kumuita mwanaume mzuri hiyo ni disgrace, bora useme ana mvuto au muonekana. Mzuri mwanamke au shoga.
Shida ya muonekano ni moja, wanakuja wanawake usiowataka na wale unaowataka wanakuwa insecure na kusema wewe huwezi kosa mtu au unakwambia utanitesa. Pumbavu kabisa
 
Ushawahi experience!
 
Mwenyezi Mungu fundi
Mwanaume mtamu anakuzalia watoto unatumia mpaka 30M international school + University ila wanaishia kutoa Makamasi + kula unga+ Supplementary za kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…