The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
@makaveli10 sijakutia kwa macho long tyme[emoji482]
Mzee wa peramiho Kwa hiyo unamshauri Huyu Binti mleta mada akampokee Huyu jamaa anayekuja na Lori Toka msibani?Bila shaka n mumeo umeamua kumsema
Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku
Mwanaume mwingine Yupo msiban ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Basi hatujaTIANA, hata mimi sijakutia machoni kitambo bibie.@makaveli10 sijakutia kwa macho long tyme
[emoji38][emoji38][emoji38] ule Uzi unafraisha sana et mke hanijaliBila shaka n mumeo umeamua kumsema
Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku
Mwanaume mwingine Yupo msiban ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwahio kumbe wewe ukipenda mazoba unaowaendesha kama gari bovu unataka mpaka walume ndago uwapelekeshe?Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... βοΈ
Kuwa mchangamfu,kuwa mpole,kweli huyu kavurugwa...Umeachwa una hasira ama umepatwa na nini ?, umekasirika sana relax kidogoπ
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimechekaUnakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka n mumeo umeamua kumsema
Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku
Mwanaume mwingine Yupo msiban ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kenge ww, eti uwe zoba zoba, ili iweje? Nyie ndo mnaowapanda boys zenu vichwani.!Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
ameishi sana majuuu mpaka anaanza kusahau kiswahili "anaongea kama anapauka"Eti anaongea kama anapauka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]