Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

Mitchel98 , wherever u a ,I missed u so much [emoji1] sijui umechange jina humu sikupati
 
Bila shaka n mumeo umeamua kumsema

Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku

Mwanaume mwingine Yupo msiban ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mzee wa peramiho Kwa hiyo unamshauri Huyu Binti mleta mada akampokee Huyu jamaa anayekuja na Lori Toka msibani?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
My name my name Mimi ninavyote unavyovitaka nipe nafasi mrembo basi mie kunguru mwenye huruma
 
Ushapitiwa na kitu kizito, usikute kakukula ndo umekuja gundua hana kitu. Pole sana
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
Kwahio kumbe wewe ukipenda mazoba unaowaendesha kama gari bovu unataka mpaka walume ndago uwapelekeshe?
Kuwa timamu kidogo basi
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
Kenge ww, eti uwe zoba zoba, ili iweje? Nyie ndo mnaowapanda boys zenu vichwani.!
 
Mungu anatuangalia wanae tulivyo busy na mapenzi [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mwanaume sifa kuu dunia ya sasa ni kuwa mrija wa kukuingizia kipato,mambo mengine ni mbwembwe tu za vijana wanaotaka kuhudumiwa na mijimama,
 
Back
Top Bottom