Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

FB_IMG_16468614251328775.jpg
 
Mara nyingi ukiachwa ukiwa bado unampenda,

Hiyo hali unayopitia ni kawaida mkuu..

Utapoa tu
 
Mwisho wa siku yote ni ubatili mtupu, hatujaumbiwa hayo!
 
Maneno ya mkosaji ayo,

Uliingia nae vipi kwny mahusiano ukijua kabisa Hana hivyo Vigezo unavyovitaka?

Kama kigezo Ni pesa tu, Basi sema wazi kwamba unajiuza.

Na Kama kweli unajiuza,
Uliona wapi kahaba akaangalia maswala ya uvaaji wa mteja wake.
Kwani uchi wenyewe mnauziana mkiwa na nguo?

Tusizunguke mbuyu Mtoa mada,
Hii biashara ya uchi wewe huiwezi, Hii kazi waachie wemyewe.

Nchi hii,
Fursa ziko chungu mzima, Nenda katafute kazi nyingine[emoji3525]

(No offense intended [emoji120][emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita kuu ya 4 ya dunia

[emoji23]
 
Ati nimwachwa lol mimi n baby wangu hatuachani mwaka huu, mwakani wala mwaka kesho. Kuachana mpk kifo tutenganishe 🙂
Sasa mbona unawasema wababy wa wenzio? Ama nao unawataka?

Kumbuka kuna preference na choices haviwezi fanana
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
Sasa huyo unayemsema wewe ulimkubali vipi au hayo umeyaona baada ya kukuacha mkuu?
 
Eti anaongea kama anapauka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We ni kuwafata tu hao wenye sifa za kupendwa, huna haja ya kutoa povu, very simple.
 
Back
Top Bottom