Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Hakikisha unatoa salamu ukiwa na smile usoni, na hakikisha umfanye akuone uko juu zaidi yake, na hakikisha unatafuta kila sababu ya kumuona yuko chini yako, sense nobody is perfect. Hapo hata iweje hachomoi sababu automatically utakuwa confident kupitiliza. Kuna factor nyingi sana lakini confidence na chemistry ni muhimu zaidi.

Evidence ni sijawahi kukataliwa na atayenikataa atajua kwanini asilimia 71 ya dunia ni maji.
 
Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Naomba namba ya simu sister tutawasiliwana baadaye. Ulijinyima nitakutolea povu lisilo la sayari hii
 
Uongo huna aibu[emoji23][emoji23][emoji23]mbna mi ulitoa namba yako halisi au niiweke hapa???
Hata kama hutaiweka JAPO inbox nitupue mtu wangu wa nguvu nitakushkuru baadae
 
Mimi nikikuomba namba ukininyima najua unatafuta attention ambayo kwangu huwezi kuipata
 
By the way vijana wa siku hizi jifunzeni kutongoza jamani. Yaani mnapwaya mno!

Wenzenu tulitongoza hata bila ya simu na maisha yalikuwa fresh tu [emoji23]
Tatizo muda na mizunguko ya maisha inaenda kasi zaidi ya enzi zile, siku hizi ukimuona mtu yuko kibarazani na mtoto wa kike anabembeleza ujue huyo hana cha kufanya na hajitambui.
 
1;Ukiomba namba unapewa ila usitegemee simu yako itapokelewa[emoji28][emoji28][emoji28]….

2;Nitakuambia usiwe na shida ukitaka kunipata utanikuta hapa ndio nakaa yaani ndio nitolee sitoi namba kwa stranger

Mimi ndio kanuni yangu hiyo

Unakuta mtu anakwambia tuwe rafiki rafiki which hakunaga rafiki wa mwanaume na mwanamke
 

Huyo hajiamiii aje akutane na sisi vichwa vimevurugwa simu moja analala kituo cha polisi kanizalilisha na hivi napenda kurecod matukio
 
Huyo hajiamiii aje akutane na sisi vichwa vimevurugwa simu moja analala kituo cha polisi kanizalilisha na hivi napenda kurecod matukio
wewe mama mzungu wa peramio au mana dah unavyofoka utazani unamjua huyo jamaa we mamamzungu huyu jamaa sio hajiamin huyu jamaa ni MP ni wale wanaowaadhibu wanajesh wakikosea makambin kwao sasa sijui polis gan atakaa? tuache hilo waweza sema anatumia cheo chake aisee we mmama huyu jamaa kama ww ni ke ukimuona mbususu lazima iloe kwa utamu ni sukar ya walembo haswa afu nilisahau huyu jamaa akikukata tu jicho lazima uringe ringa kwa kutompa namb kumbe moyon umelainika
 
Wanawake huwa hawakatai ukiona amekataa ujue hauja muomba kwa njia sahihi.
 
hlf unaenda kwa sangoma akusaidie kupata bwana!

kuna ke zina akili ya kindezi kabisa
 
Mimi mwanamke akishanijibu mbovu.. naanza kumfanyia devaluation hapo kwa hapo yani sikwepeshi mpaka ajione ni kinyesi haswa haswa.
 
Baadae wanahanza kuhaha kwa makanisa ya kihuni wakitaka ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…