Kuna wanawake wachafu

Kuna wanawake wachafu

Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini kama yakitokea unapaswa badirisha baada ya maanagamizi ila kwa hawa wanawake wa sikuiz ni wachafu hajui kabisa usafi kufua kwao shida
Wahuni tumeshawafundisha ugumu..
 
Na rafiki yangu mmoja kaoa mwanamke yuko rafu kichizi kwanza sebuleni kwao siku zote zimezagaa nguo hovyo hovyo haijulikani ni nguo safi au chafu, anaweza akajiremba kinoma ukapishana nae mtaani bonge la mrembo ila mwana akikwambia twende nyumbani maramoja utaenda kukuta beseni limejaa maji ya ukoko
 
Back
Top Bottom