πππAlafu sasa nowdays vijana wengi ndio wanayapenda matukunyema ya hivi, unashika paja kama umeshisha ukuta. Big noooh kwakweli
Haya hayahitaji malisho , yameshajipata hayawezi kukosa milo mitatu, sasa vijana msoto ni mkali wanataka kupendeza kula na kunywa vizuri , ndio madogo yanaponea hapoAlafu sasa nowdays vijana wengi ndio wanayapenda matukunyema ya hivi, unashika paja kama umeshisha ukuta. Big noooh kwakweli
Hahaaaaaa Mbinguni watapewa miili MIPYA.Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.
Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.
View attachment 3680944
vipi weweπππ
Hapanaavipi wewe
tuone kidogoHapanaa