wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Kuna vitu Dem anaweza kufanyia ukahisi kama umeigiziwa movie.
Ipo hivi Kuna Dem nilikuwa ktk mahusiano nae kwao anapoishi(Kwa mamdogo wake) siyo mbali San na mim nilipo panga. Nimedate nae kama karbu mwaka so nilikuwa namwamin San the way alivokuwa akipretend kwang.
Kuna time kama weekend alikuwa kawaida kwake kuja kushinda geto kuenjoy weekend pamoja. Sasa Kuna issue ya Kaz nilipata mkoan ikanilazimu nisafiri.
Sasa ilinibidi nimwage huyu Dem kama manzi wangu, so ktk kumwaga aliniomba kwamba nimwachie funguo za ghetto langu ili awe anacheki game za ulaya coz kwao Wana azam na mie Nina DSTV na ni kweli ni mfatiliaji mzuri wa mpira wa ulaya hivo weekend Huwa tunakuwa wote pia kucheki game ukinzingatia mim safar yangu ilikuwa naweza kukaa zaid ya mwezi.
Ukweli licha ya kuwa namwamini San lakin nikaona moyo unanisuta akanibembeleza San but end the day nikamwachia funguo nikampa na vimasharti viwili vitatu tukaagana.
Ukweli hata baada ya kufika mkoa tulikuwa tukiendelea kuwasiliana Kwa ukarbu San kama mme na mke.
Sasa bwana nimekaaa kama week ya 3 hivi, nikaona simu ya jiran yangu( room ya jirani) ni mshkaji Wang San japo mim kwenye masuala ya kusafir ukweli Huwa simwagagi mtu wanashtukaga sipo tu,( japo nimejifuza hii siyo zuri San)
Jamaa akaniambia aise Leo umejua kututesa siyo Kwa milio Ile nikamuuliza milio gan Mzee, coz jamaa ni mtu wa utani nikachukulia kama ananitania.
Jamaa nikaona yupo serious baada ya kuanza kunishauri niwe angalau nawasha redio ili kuepusha kero Kwa wengine akidai hata yey ameamshwa na wife baada ya uvumilivu kumshinda na anadai hii ni siku ya pili hivo siyo jambo jema San.
Daaa! Aise nilihisi kuchanganyikiwa ikabidi nimwambie ukweli kuwa mim sipo na situation zima niliyoiacha hapo ghetto.
Baada ya kunijulisha Bado akili ikawa haiamini kama kweli yule mazi anaweza kuingiza boy kwenye getho langu na kujiachia Namna hiyo.
So baada ya kuambiwa hiyo situation nikaona hapa Haina haja ya kumshtua huyu manzi kumuuliza hii issue but nikampanga huyu jirani yangu tutengeneza mtego wa kuwanasa wakishirikiana na mdogo wangu ambae yy upo karbu.
INAENDELEA!