Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona

Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona

Kwa hyo umekubali kwamba jamaa wa jambo pinzan anapeleka mikito zaid yako?maana tangu uko nae huyo mwamba hajawai kuiskia hiyo sauti ila mwamba alivyotia team tu jamaa akashindwa kuzoea hyo sauti
Hii kauli nikuongeza machungu kwa mtoa maada 🤣, INAPASWA KUKEMEWA VIKALI AU NAKOSEA WAJUMBE🤷🏼‍♂️
 
Dah maumivu ya kwanza kachapiwa kwako ..maumivu ya pili mwamba ana jua kut*mba kuliko wewe na majirani wame jua,, maumivu ya 3 daah mkuu hama apo
 
Aah..ila si ndo uhalisia mkuu?ukiwa away ground lazma ukaze haswa..inatakiwa uache legacy kama mwamba alivyofanya
Kweli mkuu! , kijana kachapa siku zote hajawahi kupigiwa Kelele za kupunguza sauti , kaja Mwamba day one watu hawalali🤣🤣🙌🏻
 
Hawa mademu wanaweza kukuigizia sauti, hawana akili hawa.
Dah maumivu ya kwanza kachapiwa kwako ..maumivu ya pili mwamba ana jua kut*mba kuliko wewe na majirani wame jua,, maumivu ya 3 daah mkuu hama apo
 
INAENDELEA....!

Baada ya kuwasiliana na huyu jirani yangu tuliweza kupanga Namna na kuwanasa huku nikimshirikisha mdogo wangu ambaye yey alikuwa karbu.

Hazikupita hata siku nne wakawa wamerudi tena kwenye mchezo wao, jamaa alinipgia simu mida kama saa Saba hivi night, ikabid nimshtue mdogo wangu akachukua boda na washkaji wawili fasta mpka sehem ya tukio. Ikawa Haina haja ya kuita watu kuwanasa ukinzingatia Dem hakuwa mke halali Bali ni mtu Wang tu.

Kama masihara juhudi za kuwanasa zilifanikiwa, wakawapa kichapo pale ( japo niliwasisitiza wasiwadhuru ikawa msala wa kujichukulia Sheria mkonon).

Jamaa alijitetea kuwa manzi alimwambia lile getho ni la brother wake yupo nchi ya nje hivo amemwachia yeye kama mwangalizi.

Aise mwanamke ni kiumbe hatar san.
Pole sana mkuu
 
Kuna vitu Dem anaweza kufanyia ukahisi kama umeigiziwa movie.

Ipo hivi Kuna Dem nilikuwa ktk mahusiano nae kwao anapoishi(Kwa mamdogo wake) siyo mbali San na mim nilipo panga. Nimedate nae kama karbu mwaka so nilikuwa namwamin San the way alivokuwa akipretend kwang.

Kuna time kama weekend alikuwa kawaida kwake kuja kushinda geto kuenjoy weekend pamoja. Sasa Kuna issue ya Kaz nilipata mkoan ikanilazimu nisafiri.

Sasa ilinibidi nimwage huyu Dem kama manzi wangu, so ktk kumwaga aliniomba kwamba nimwachie funguo za ghetto langu ili awe anacheki game za ulaya coz kwao Wana azam na mie Nina DSTV na ni kweli ni mfatiliaji mzuri wa mpira wa ulaya hivo weekend Huwa tunakuwa wote pia kucheki game ukinzingatia mim safar yangu ilikuwa naweza kukaa zaid ya mwezi.

Ukweli licha ya kuwa namwamini San lakin nikaona moyo unanisuta akanibembeleza San but end the day nikamwachia funguo nikampa na vimasharti viwili vitatu tukaagana.

Ukweli hata baada ya kufika mkoa tulikuwa tukiendelea kuwasiliana Kwa ukarbu San kama mme na mke.
Sasa bwana nimekaaa kama week ya 3 hivi, nikaona simu ya jiran yangu( room ya jirani) ni mshkaji Wang San japo mim kwenye masuala ya kusafir ukweli Huwa simwagagi mtu wanashtukaga sipo tu,( japo nimejifuza hii siyo zuri San)

Jamaa akaniambia aise Leo umejua kututesa siyo Kwa milio Ile nikamuuliza milio gan Mzee, coz jamaa ni mtu wa utani nikachukulia kama ananitania.

Jamaa nikaona yupo serious baada ya kuanza kunishauri niwe angalau nawasha redio ili kuepusha kero Kwa wengine akidai hata yey ameamshwa na wife baada ya uvumilivu kumshinda na anadai hii ni siku ya pili hivo siyo jambo jema San.

Daaa! Aise nilihisi kuchanganyikiwa ikabidi nimwambie ukweli kuwa mim sipo na situation zima niliyoiacha hapo ghetto.
Baada ya kunijulisha Bado akili ikawa haiamini kama kweli yule mazi anaweza kuingiza boy kwenye getho langu na kujiachia Namna hiyo.

So baada ya kuambiwa hiyo situation nikaona hapa Haina haja ya kumshtua huyu manzi kumuuliza hii issue but nikampanga huyu jirani yangu tutengeneza mtego wa kuwanasa wakishirikiana na mdogo wangu ambae yy upo karbu.
INAENDELEA!
Duh!it's so pain but nd wanawake wetu hao maana hat ukifanyj wao wanajuaga ukwel katika mioyoyao but kikbwa ss n binadamu
 
Duh!it's so pain but nd wanawake wetu hao maana hat ukifanyj wao wanajuaga ukwel katika mioyoyao but kikbwa ss n binadamu
Maumivu mara tano

Moja kagongewa,

Mbili kagongewa kwenye chumba chake anacholipa kodi

Tatu, aliyemgongea anajua kutomber kuliko yeye, ndomaana ukelele wa utamu umekuwa mkubwa kuliko pindi alivyokuwa anamla yeye zamani.

Nne, jamaa kajua kuwa kagongewa na majirani wamejua,

Tano, jamaa kapoteza muda na Pesa zake kwa mwaka mmoja.

Katika yote hayo, la tatu ndo linauma zaidi.
 
Mie naomba contacts za huyo mrembo. Atanifaa maana wikend tutakuwa tunaangalia man city vs wolves huku tunagegeduana.
 
Back
Top Bottom