wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
- Thread starter
- #41
Daaa! Wanawake siyo kabsa 😥Pole sana....tatizo hamkuoana na alishakuchoka akaamua kukudharau pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa! Wanawake siyo kabsa 😥Pole sana....tatizo hamkuoana na alishakuchoka akaamua kukudharau pia
Huoni kama mazoea umepitiliza mkuu?Nikajua anayezungumziwa hapa ni wewe, kumbe sio pole sana mkuu
PoleDaaa! Wanawake siyo kabsa 😥
Kumbe wewe sio mwanamkeHuoni kama mazoea umepitiliza mkuu?
Kama n manzi yako kawaida hyoAkili zingine bana, getho langu afu nimuachie funguo mwingine mbn haiingii akilini
haiamini kama kweli yule mazi anaweza kuingiza boy kwenye getho langu na kujiachia Namna hiyo.
Daaa! Aise Hawa viumbe wa kuishi nao Kwa akil sanPole sana mkuu, kuna jirani yangu nae lilimtokea kama lako tofauti n kidogo yeye alikuwa akiishi nae akapata kazi mkoani, alivyoenda baada ya kama wiki 2 shem akaanza kuvusha, mshkaji alikuja kujua alichofanya aliuza baadhi ya vitu kijanja bila mwanamke kujua nia yake mpaka kikabaki kitanda tu ndicho alichomuachia. Mwanamke wa hivi ni hatari sana.
KabsaDuuuuh.
Mademu Wengine hawana Akili.