Mimi nimeandika mawazo yangu ww umeandika yako. Hatuwezi fanana. Mimi naelewa hivo. Kama unabisha sikiliza nyimbo za Katy Perry au siaHayo ni mawazo yako wewe, ila kiukweli hakuna msanii anayetoa hit kila nyimbo eti kila wimbo we unaupenda tu. Ukisikia team mondi au team kiba ndo huanzia kutokana na tabia ya mtu kujifanya anasupport kila wimbo wa msanii anaotoa.
Wasikilizaji wa kweli wa muziki hupenda wimbo kulingana na interest zake na sio kusema eti kila wimbo atakaotoa msanii kwake utahit
BIG NO!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mdogo wanguWeka orodha yako dadaa
Weusi watoe haraka hapo jamaa wanaboa mno na nyimbo zao ni mbovu
Kwahyo wanaoongelea nyimbo hawajui mziki??Haya hua maneno ya maskini
Tajiri hua hakai anazungumza habari za hela mitandaoni
nop ni djs /producers,Writers like Alan walker Avicii,MarshmelloHivi David Guetta na DJ Snake na wao huwa wanaingia 'Booth' Kuimba ?
Sawa nimekuacha upayuke unayefahamu mzikiHujui mziki wewe kaa kimya
sisi akina kibakuli tunanyimbo kali sema hatujazitoa coz hatupend show offHi guys..
Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana.
Mimi wangu ni hawa..
Weka wasanii wako tuone..
- Runtown
- G nako (akishilikishwa)
- Jux
- Celine Dion
- Enrique Iglesias
- Sia
- Katy Perry
- Paul okoye (Rude boy)
- Kala Jeremiah
- David Gueter
- Dj Snake
- Westlife
- P Square
- Lucky Dube
- Boys in the B (UB40)
- Mathey
- Monique Seka
- Dolly Parton
- Makoma
- Kwaya ya St. Yuda thadeus Mbeya
- Sauti Sol
- Sean kingston
- Sean paul
- Busy signal
- Roma
- Nikikumbuka wengine nitakuja kuongeza..
Mimi Playlist Yangu.
1. Allan Walker
2. Celine Dion
3. The Chainsmokers
4. Ella Mai
5. Westlife
6. Eminem
7. Rihanna
8. Sia
9. P Square
10. John Legend
11. Chris Brown
12. Bruno Mars
13. Steve RnB
14. Michael Jackson
15. Akon
16. Ed Sheeran
17. Jordin Sparks ( My Crush )
18. MB Doggy
19. Maroon 5
20. Reekado Banks
21. Simi
22. Zahara
23. Katty Perry
24. Justin Bieber
25. Usher
26. Lady Gaga
27. Billie Eilish
28. Lizzo
Mathey na thor hawajawahi kutoa ngoma mbaya. Sijui wanafanyaje*Koffi Olomide
*Oliver Ngoma
*Monique Seka
*Mathey
*Madilu system
*Ferre gola
*Alikiba
*Lady jay dee
Sent using Jamii Forums mobile app