Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Kidagaa kimemwozea JamiiCheck
Ndiyo, kuna baadhi ya watu ambao wana kinga asilia dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU). Kwa mfano, baadhi ya watu wenye mabadiliko maalum kwenye kiini cha CD4 cha mfumo wa kinga (mabadiliko kwenye geneti inayoitwa CCR5-Δ32) wanaweza kuwa na kinga dhidi ya aina fulani za virusi vya UKIMWI. Hii ina maana kuwa virusi haviwezi kuingia kwenye seli zao kwa urahisi.

Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa hii ni hali adimu na haimaanishi kwamba watu wengine wanaweza kuwa salama bila kutumia hatua za kuzuia maambukizi kama vile matumizi ya kondomu au dawa za kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
 
Umenikumbusha mbali sana darasa la immunology chini ya Prof Giorgio.

Ambao wanapinga ni labda hawakuisoma immunology vizuri hao virus wana target /area za attachment kama ikitokea shida katika taarifa za vinasaba kuna watu wanamiss hizo attachment ndio hapo wanakuwa hawako prone kuambukizwa .

Trial zilishafanyika kwa watu walioonekana wana shida hiyo walilipwa wawe exposed na kupimwa baadae na hawakuwa na maambukizi.

Very interesting.
 
Ulichokiandika kweli kipo,ila maelezo ya ufafanuzi ndio umekosea,kweli kuna kundi la watu ambao hawawezi kuambukizwa virusi vya ukimwi,na sababu ni kwamba seli zao za damu hazina receptors ambazo kirusi cha ukimwi huwa kinajiattach kabla hakijaingia ndani ya seli nakuanza kujimultiply hizo receptors nadhani zinaitwa CCr if i am not mistaken
 
Kweli mkuu
 
Naam kk
 
Mimi Hapa Pia Mwenyenzi Mungu amenijalia kwa wema wake hali hii ya kutokuambukizika HIV na STDs..
Ndo Maana Namshukuru Leo Hii Kwa Kuchangia Damu.
 
 
Je, hao watu ni tofauti na wale Carriers? Nilisikia miaka fulani, Carriers wanaambukiza tu ila wao hawadhuriki na VVU, na ikitokea Hospitali ikamtambua Carrier yupo sehemu fulani anakuwa anafuatiliwa sana, sijui kwa sasa ipoje?
 
Moderators why "MPYA" categorisation??
Hii sio habari mpya.
 
Wew dogo una elimu ndogo kuhusu HIV. Ni kweli wapo watu hawawez ambukizwa ila mechanism no kwamba hao watu hawana receptor protein kwenye immune cells zao (CD4 T Lymphocytes). Ili virus aweze kuingia kwenye izo type za WBC ni lazima ziwe na recptors for HIV kama hana hawawez ingia kwa cell ku explot the genetic content and protein for their multiplication. Kumbuka wanavojimulply withe the CD4 T lympocytes matokeo yake iyo cell ita ruptere ili wa infect other cells. Ku rupture kwa cells ndiko hufanya CD4 T Lympocytes kupungua na ilo ndilo tunaloita upungufu wa kinga mwilin. Anyway madogo wa clinical officer na D zenu mbili mnazngua sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240913-130748_1.jpg
    162.5 KB · Views: 11
Kwahiyo unaniponda
 
Ukimwi na stories zake za kuingia sijui kupambana na Kinga ni chai Kama chai zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…