Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Umekalia kusema tu ''ndio pona pona yako''

Hujasema umerefer kitu gani, husemi huo utafiti umefanyika wapi, ni akina nani hao waliowahi kuongezewa damu na wasipate VVU?

Unaandika kama habari za vijiweni, halafu bila soni unajisifu eti ada haikwenda bure!

Jamiicheck ondoeni huu ushuzi.
 
Carrier wanapata .hii ni issue tofauti soma vizuri mkuu

Yes ,Carrier na yeye anakuwa na virusi kwenye damu ila havina madhara hata chembe but anaambukiza wengine,carrier hapati magonjwa nyemelezi wala nini lakini ni TRANSFORMER HT 132Kva.
 
Chuki binafsi
 
Mimi kabisa huyu Mungu azidi kuniongezea kinga mwilini
 
Nawezaje kujua kama sina hizo receptors?
 
Hii issue ngumu kuelezea ila ukweli nimedate na mwanamke miaka miwili,tumekaa chumba kimoja mwaka mzima situmii kinga kumbe mwathirika tangu 2019,ila sijapata na nimepina mara 3 na sasa wakashauri kutumia PREP ,tunamtoto mwaka mmoja na miezi 3 mzima kabisa
 
UKIMWI hupo tuendelee kufuata taratibu zote hili kuepuka hizi zingine huwa naona ni kama porojo

kufanya watu wengine waingie kwenye hii trap kwa kujiaminisha wao hawawezi kupata UKIMWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…