Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ?
Inawezekana hii ?
Kwamba,mtu mmoja mwenye imani fulani,anamchukia muwezeshaji wake kwa kumuacha masikini lakini anampenda kwa kumuumba na uumbaji,sivyo?Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ?
Inawezekana hii ?
Hii ni hoja gani???Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ?
Inawezekana hii ?
Hoja ya kufundisha kumpenda mmoja na kumchukia mwingine.Hii ni hoja gani???
Stupid people argue about personalities, intelligent people argue about ideas and principles!Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ?
Inawezekana hii ?
Nyerere ndiye anayetakiwa kuchapwa bakora kwa kulifikisha taifa hapa. Angeweza kufanya vyema zaidi na kuacha alama za dhahabu kwenye mioyo ya Watanzania.Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ?
Inawezekana hii ?
Jho jujho n'goghi gwa bhanitu
Mnatoaga vijihoja fulani vya kivuta bange sanaNyerere ndiye anayetakiwa kuchapwa bakora kwa kulifikisha taifa hapa. Angeweza kufanya vyema zaidi na kuacha alama za dhahabu kwenye mioyo ya Watanzania.
Kwanza angehakikisha anawapa Watanzania katiba inayoendana na wakati aliporuhusu siasa za vyama vingi.
Pia angeivunja CCM ili mbio za ushindani zianze wote wakiwa sawa.
Angefuta mbio za mwenge ambao hauna tija wala manufaa kwa taifa hili.