Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Ile series walisema watairudisha kuonesha namna White walkers walitokeaa... Ila wale wambaaa nawakubalii maishaa yoteeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mamaee yani yule mwamba wao akifungua macho tu kumekuchaaaa... WALIVYOKUFAA WOTEE ILINIUMAA SANA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Fala sana wewe wale nlikuwa nawachukia sana, na walisubiriwa from season one wakaja season 8 balaa lao ni kubwa mnoo.

Nahisi watakuja kuonesha walipotokea kwenye house of dragons
 
Japo nayo naona imepooza sana house of dragon yani action za kutafutaa sanaa.. Ngoja zifike season kadhaa ndo nianze kufatilia..!! Wale ndo wambaa yani balaa yakeee daaah hatari sanaa.
 
TAMATI
images (3).jpeg
 
Niko live😇
while of time,the ark, the last of us, vampire academy,shadow and bone, the warrior nun,all american, the moon knight, The ring of Power, the gothan knight and fate of the winx saga nk.
 
Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
Naunga mkono hoja...ongeza na breaking bad, money heist, lost....na nyingine nyingi! Lakini 24 iwe no 1.
Unajua huwa hadi naona aliyandika 24 kama alimuhalibia Jack career maana kila movie akicheza unaona haifikii performance na mziki wa 24....mule umafia wake haukuwa wa kitoto.
 
The Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters

Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)

Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
We Jamàa kiboko, km DJ Mark
 
Naunga mkono ujinga ujinga mtupu .Halafu saa mbovu wengi sana huko.
Korean drama wapo less sana....kimsingi wamevurugwa kinyama....sijawahi vutiwa nao....halafu...inaniboa zaidi kukomaa na sub muda wote utadhani nasoma kitabu kumbe naangalia motion pictures....!
 
Korean drama wapo less sana....kimsingi wamevurugwa kinyama....sijawahi vutiwa nao....halafu...inaniboa zaidi kukomaa na sub muda wote utadhani nasoma kitabu kumbe naangalia motion pictures....!
Lazima kuwe na jehu moja na chawa mmoja wa star kila sehemu linamfata huku linajichetua .Useless.
 
Back
Top Bottom