Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kina Avengers[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zile za mauongo uongoooooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Rating hizo hizo zilionyesha series ya Ms Marvel ni bora kuliko Daredevil but deep down tunajua ms marvel was garbage but Daredevil is something entirelmkuu tuache ratings ndo ziongee....
Madude ya Sci-Fi yalinishindaga kabisaaaa 🤣🤣🤣Hapa kuna watu wa Sci-Fi wanaung'angania uzi. 😂😂
😻😻😻Rating hizo hizo zilionyesha series ya Ms Marvel ni bora kuliko Daredevil but deep down tunajua ms marvel was garbage but Daredevil is something entirel
rating za rotten tomatoes.... yaani ile category ya fansRating hizo hizo zilionyesha series ya Ms Marvel ni bora kuliko Daredevil but deep down tunajua ms marvel was garbage but Daredevil is something entirel
Yani siwezagii kabisaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Madude ya Sci-Fi yalinishindaga kabisaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] kweli kabisa mkuu, mimi mwenyew mwishon walinikera walimaliza vbaya sikupenda. Na sijui kwa nini movies nzuri nyngi wanamalizaga hovyo.Yaah kweli GOT ni master piece...wangejitahdi mwishoni isingeishaa kizembe vilee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamchukuliaje Paul Scheuring? PB ni bora mno though due to technological advancement kuna vitu vyake vingi vinaonekana outdated ko wati wanai-inderate. Kuiweka Money Heist na Squid game pamoja na PB ni kumkosea heshima P.ScheuringIngehit sana kama zlivokua money heist na squid game lakini bado isingekuwa legendary movie kama GOT. Na movie nzuri haijalishi imetoka kipind gani mfano Lord of the ring ni ya kitambo sana ila mpaka sasa series nyng tu hazifiki pale
Ratings sometimes zinafavour series flani flani kwa malengo yao ila ndani ni Ufalaaa tuurating za rotten tomatoes.... yaani ile category ya fans
Avengers sijafika huko bana😂😂😂😂Za kina Avengers[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sci- fi zilikuwa kitambo kidogo kipind cha kina captain america, avengers za mwanzo mwanzo ila kwa sasa wameshapoteana movies zao hazivutii tenaHapa kuna watu wa Sci-Fi wanaung'angania uzi. [emoji23][emoji23]
Duniani kuna series moja tu. Game of Thrones yaani hadi obama akawa anawapigia simu japo wamuhadithie muendelezo arosto inataka kumuua. Wanalinganisha na BB??Hawa jamaa hawajaiona got nini, rikiboy anaifananisha Got na PR-break. Got ni unpredictable akili mingi ila Priaon break unajua kabisa hawa wanataka kufanya hv.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile series mimi niliangaliaga kipindi flani Nikaacha maana nikawa sielewi kabisaaa.. na zile ishu za Ushoga ndo kabisaa.. Ilaa baadae nikakomaa nielewe aiseee ni bonge moja la Series.. the summer is coming ukisikia hivyo juaa balaaaa lake si mchezoAvengers sijafika huko bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naangalia drama za kawaida tuu
Naona kutokuangalia GOT imekua shughuli[emoji38][emoji38][emoji38]
Nakwambia hivi siku ukiitazama utadata..na utairudia zaidi ya mara kumi. Usijaribu ni zaidi ya CocaineAvengers sijafika huko bana😂😂😂😂
Naangalia drama za kawaida tuu
Naona kutokuangalia GOT imekua shughuli😆😆😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani hapanaa aisee...Siwezi kukaa na kushangilia Sci-Fi hata siku moja, bora niangalie chaneli za wanyama at least nitajua muayo wa mamba unakuaje kuliko kuangalia tu tu tyulilu tuko Mars mara tyu tyu tupo Saturn. Garbage [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu hii chukua series zote za korea hapa hazifikii. Bonge moja la anime hapa nasubiri nione Armini na Levi wataziwiaje Rumbling ya Eren.Hakuna anime nzuri zaidi ya hii
View attachment 2603061
[emoji28][emoji28] japo PB ipo juu ya ya hzo movies mbili ila hzo ndo zinaweza kukaa kundi moja sio kwa GOT Mkuu. kuna vjana wanaweza kukwambia hakuna movie kama money heist au kama squid game nawaonaga akili ndgo.Unamchukuliaje Paul Scheuring? PB ni bora mno though due to technological advancement kuna vitu vyake vingi vinaonekana outdated ko wati wanai-inderate. Kuiweka Money Heist na Squid game pamoja na PB ni kumkosea heshima P.Scheuring