Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #221
Mkuu, huu ni wivu 🤣🤣Series za mabeki 3 na wanafunzi wa primary[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, huu ni wivu 🤣🤣Series za mabeki 3 na wanafunzi wa primary[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haikuweza ku surpass expectation na ilikuwa inaangushwa na series nyingi, mfano Bulgasal inaishusha Eternal Monarchy.Lakini Eternal monarchy sio mbaya sana
Ikija kutokea series kali zaidi ya Breaking Bad bhasi naomba ijengewe Sanamu kila nchi dunianii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jese fuckin pink man... yeaa beachiii.
Hiyo picha niliyoiweka inawafaa... Washabiki wa BB wana tuakili tudogo🏃🏃🏃usilinganishe breaking bad na got.... breaking bad ndo the best....
🤣🤣🤣🤣😆🙌Ikija kutokea series kali zaidi ya Breaking Bad bhasi naomba ijengewe Sanamu kila nchi dunianii
Yah ni kweli ila inaonesha yule kaka yake Hoon (stuntman) anarudi kulipiza kisasi kwa SamuelStory iliisha mapema mno na seaso 2 haitaweza kutoboa hata episode 5
View attachment 2603048
umeangalia better call saul?? got kuna jambazi anamzidi Gus??Hiyo picha niliyoiweka inawafaa... Washabiki wa BB wana tuakili tudogo🏃🏃🏃
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu. Ni kweli kabisa mimi baadae niliacha kutaka kuelewa kila kitu nikawa naangalia hivyohivyo nikielewa sawa nisipoelewa nasonga mbeleWakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hii ndio utopolo kabisa, ipo overrated ila ya kawaida mnoo.wanaume tukutane hapa....
View attachment 2603045
Aliewekaa hajitambuiii.. GOT pamoja na kuwa na computer nyingi ndani yake lakini bado haiikamati Breaking bad hata Prison break bado inamuacha mbali sanaa...Hiyo picha niliyoiweka inawafaa... Washabiki wa BB wana tuakili tudogo[emoji125][emoji125][emoji125]
Humo kuna corea na Korea.......Daah 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu. Ni kweli kabisa mimi baadae niliacha kutaka kuelewa kila kitu nikawa naangalia hivyohivyo nikielewa sawa nisipoelewa nasonga mbele
Mmmhhh mimi Anime siko interested nazo mkuu kama hiyo Alice in Borderlands ndio kabisaaaBila shaka hujatazama Alice in borderlands. Ubaya wajapan wamewekeza zaid kwenye Anime kuliko series/muvi.
Kama upo tayari kuangalia anime nikupe recommendation ya anime moja uone kama hutaipenda.
Mimi sipendi comedy za kipuuzi kama za wakorea in fact napenda Black comedy tu (sijui kama unazijua) ndio maana hata muvi za kizungu zenye comedy za hovyo sitazami.
Hizi series mbili hapa chini zinachukuliwa kama series bora zaidi kuwahi kutokea duniani maana hazina comedy za kipuuzi (Cringy) yaani mtu hakuchekeshi ila unacheka mwenye. Watu wameigiza utadhani hawaigizi ni maisha halisi
View attachment 2603047
husemi kwanini ndo shida yako 😂Hii ndio utopolo kabisa, ipo overrated ila ya kawaida mnoo.
Ni kama Squid game ilivyokuzwa hafu haifiki hata robo Alice in borderlands
sikuhizi sofatilii sana naona kuna usagaji/ushoga sanaKuna moja ya mwaka huu imetoka inaitwa The Glory
Nayo ni nzuri nzuri
Nimeichek ndio sema bado aijatazama S5 bado naivutia kasi. Gus ni mnoma sana. Halafu kuna vile vimapacha viwili ni nouma😅😅.umeangalia better call saul?? got kuna jambazi anamzidi Gus??
Squid nzuri sema series za kikorea nadhani ukiangalia mara moja ule mzuka wa kurudia huwezi kuupata kabisa...!!husemi kwanini ndo shida yako [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana...yaani mimi namshukuru yule kaka wa mapacha alijua kunipunguzia stressHumo kuna corea na Korea.......Daah [emoji1787]
OMBA RQDHI Huwez fananisha GOT na PRISON BREAK HATA KIDG. GOT NI LEVEL NYNGNEAliewekaa hajitambuiii.. GOT pamoja na kuwa na computer nyingi ndani yake lakini bado haiikamati Breaking bad hata Prison break bado inamuacha mbali sanaa...
Mmhh hiyo haina hayo mambosikuhizi sofatilii sana naona kuna usagaji/ushoga sana
ila ntaitafuta
Hakuna anime nzuri zaidi ya hiiUbaya wajapan wamewekeza zaid kwenye Anime kuliko series/muvi.
Kama upo tayari kuangalia anime nikupe recommendation ya anime moja uone kama hutaipenda.