Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Ikija kutokea series kali zaidi ya Breaking Bad bhasi naomba ijengewe Sanamu kila nchi dunianii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jese fuckin pink man... yeaa beachiii.
usilinganishe breaking bad na got.... breaking bad ndo the best....
Hiyo picha niliyoiweka inawafaa... Washabiki wa BB wana tuakili tudogo🏃🏃🏃
 
Wakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa [emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu. Ni kweli kabisa mimi baadae niliacha kutaka kuelewa kila kitu nikawa naangalia hivyohivyo nikielewa sawa nisipoelewa nasonga mbele
 
Bila shaka hujatazama Alice in borderlands. Ubaya wajapan wamewekeza zaid kwenye Anime kuliko series/muvi.
Kama upo tayari kuangalia anime nikupe recommendation ya anime moja uone kama hutaipenda.
Mimi sipendi comedy za kipuuzi kama za wakorea in fact napenda Black comedy tu (sijui kama unazijua) ndio maana hata muvi za kizungu zenye comedy za hovyo sitazami.

Hizi series mbili hapa chini zinachukuliwa kama series bora zaidi kuwahi kutokea duniani maana hazina comedy za kipuuzi (Cringy) yaani mtu hakuchekeshi ila unacheka mwenye. Watu wameigiza utadhani hawaigizi ni maisha halisi
View attachment 2603047
Mmmhhh mimi Anime siko interested nazo mkuu kama hiyo Alice in Borderlands ndio kabisaaa
Movie nikishaona ina comedy sitaki hata kuigusa. Niko much interested na crime, thriller or detective movie au series
 
Ubaya wajapan wamewekeza zaid kwenye Anime kuliko series/muvi.
Kama upo tayari kuangalia anime nikupe recommendation ya anime moja uone kama hutaipenda.
Hakuna anime nzuri zaidi ya hii
p19149543_b_v9_aa.jpg
 
Back
Top Bottom