Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Wakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa 🤣🤣🙌
Time travel wanaweza ila storyline yao ilikuwa mbovu. Unajua korea series hata iwe na story kali ila ikidumbukiziwa love story wanashindwa ku-balance inaanguka kama ghorofa. Kuna moja inaitwa signal ni time travel ni ya wakorea kali ila haijamiksiwa na vitu vingi
 
Nimeichek ndio sema bado aijatazama S5 bado naivutia kasi. Gus ni mnoma sana. Halafu kuna vile vimapacha viwili ni nouma[emoji28][emoji28].
Ila GOT kuna Ramsey, Kuna night king ukiwaona tu unaanza kutetemeka
Hawa jamaa hawajaiona got nini, rikiboy anaifananisha Got na PR-break. Got ni unpredictable akili mingi ila Priaon break unajua kabisa hawa wanataka kufanya hv.
 
Mmhh hiyo haina hayo mambo
Inahusu tu revenge, mpangilio yake ni mzuri haichoshi kuangalia
Japo kuna muda inasikitisha[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhasi wew ndo wale wapenda Fiction na mauongoooo flani hivi ndo unaona movie nzuri. Ila when comes to reality bila fiction achana na Breaking Bad.
 
Mmmhhh mimi Anime siko interested nazo mkuu kama hiyo Alice in Borderlands ndio kabisaaa
Movie nikishaona ina comedy sitaki hata kuigusa. Niko much interested na crime, thriller or detective movie au series
Alice sio comedy aisee acha kuishusha hadhi😅
Mimi nakuomba angalia hii anime japo vipande 5 kisha urudi hapa utanishukuru
Ni noma sana zipo season 4
FB_IMG_16565315728100467.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhasi wew ndo wale wapenda Fiction na mauongoooo flani hivi ndo unaona movie nzuri. Ila when comes to reality bila fiction achana na Breaking Bad.
😂😂😂😂
Hiyo movie hata nikiwa niko idle siwezi kuiangalia kama jinsi wewe huwezi kuangalia haya mauongooo😆
GOT ndio kabisaaa hata kwa panga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo movie hata nikiwa niko idle siwezi kuiangalia kama jinsi wewe huwezi kuangalia haya mauongooo[emoji38]
GOT ndio kabisaaa hata kwa panga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wew unaangalia series gani sasa???
 
PB ingeshushwa 2022 au 2021 ingekuwaje?
Ingehit sana kama zlivokua money heist na squid game lakini bado isingekuwa legendary movie kama GOT. Na movie nzuri haijalishi imetoka kipind gani mfano Lord of the ring ni ya kitambo sana ila mpaka sasa series nyng tu hazifiki pale
 
Back
Top Bottom