McCord
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 231
- 569
Time travel wanaweza ila storyline yao ilikuwa mbovu. Unajua korea series hata iwe na story kali ila ikidumbukiziwa love story wanashindwa ku-balance inaanguka kama ghorofa. Kuna moja inaitwa signal ni time travel ni ya wakorea kali ila haijamiksiwa na vitu vingiWakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa 🤣🤣🙌