Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Siifahamu mara ya mwisho nimetazama series za kikorea 2016 baada ya hapo naona series zao wanaigiza vituko. Comedy zao za kitoto toto hata hazichekeshi. Nikaachana nao nikahamia kwenye Anime za wajapan. Wajapan wapo vizuri sanaaa basi tu hawana Airtime
bro we mjanja mjanja umeangalia 'Breaking Bad'😂
 
Gu Family Book sijui ilienda vipi
 
Attachments

  • 9 GumihoWolRyung.jpg
    9 GumihoWolRyung.jpg
    10.4 KB · Views: 17
Siifahamu mara ya mwisho nimetazama series za kikorea 2016 baada ya hapo naona series zao wanaigiza vituko. Comedy zao za kitoto toto hata hazichekeshi. Nikaachana nao nikahamia kwenye Anime za wajapan. Wajapan wapo vizuri sanaaa basi tu hawana Airtime
Itafute hiyo Vagabond
Ni nzuri mno achana na hao wajapan😂
 
Hao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horror
Bibie story zinanunuliwa hata wewe ukiwa na story yako check na Production company wakiipenda wanachukua. Ndio Maana kuna muvi nyingi sana zimetengenezwa Hollywood kwa story kutoka japan. Asikudanganye mtu wajapan wana story nzuri zaidi kuliko wakorea.
Mfano mdogo huu hapa👉
 
The Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters

Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)

Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
Bahati mbaya Six flying dragon sijaionaga mpaka leo ila najua ni kali
royal Gambler namkubali mfalme [emoji23] hana masihara
 
Back
Top Bottom