Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Umesema kweli...hasa hizi za Netflix zina umagharibi mwingi na ile ladha kikorea inapungua. Ndio ujue tatizo sio lugha ni kwamba tunaopenda kdrama tumejikuta tu tunavutiwa na Korean culture
Wakorea movie zao ilikuwa kuona tu kiss scene shughuli, ila tangu netflix atie timu, yamekuwa kawaida nowdays
 
Umesema kweli...hasa hizi za Netflix zina umagharibi mwingi na ile ladha kikorea inapungua. Ndio ujue tatizo sio lugha ni kwamba tunaopenda kdrama tumejikuta tu tunavutiwa na Korean culture
ila 'city hunter' nisidanganye ilikua kali aisee.... 😂
81YfhPTdblL._RI_.jpg
 
Back
Top Bottom