Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Da'Vinci kaitafute hii anime, utakuja kunishukuru...
one-punch-man-destruction-i61133.jpg
 
Yaah kweli GOT ni master piece...wangejitahdi mwishoni isingeishaa kizembe vilee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] kweli kabisa mkuu, mimi mwenyew mwishon walinikera walimaliza vbaya sikupenda. Na sijui kwa nini movies nzuri nyngi wanamalizaga hovyo.
 
Ingehit sana kama zlivokua money heist na squid game lakini bado isingekuwa legendary movie kama GOT. Na movie nzuri haijalishi imetoka kipind gani mfano Lord of the ring ni ya kitambo sana ila mpaka sasa series nyng tu hazifiki pale
Unamchukuliaje Paul Scheuring? PB ni bora mno though due to technological advancement kuna vitu vyake vingi vinaonekana outdated ko wati wanai-inderate. Kuiweka Money Heist na Squid game pamoja na PB ni kumkosea heshima P.Scheuring
 
Hapa kuna watu wa Sci-Fi wanaung'angania uzi. [emoji23][emoji23]
Sci- fi zilikuwa kitambo kidogo kipind cha kina captain america, avengers za mwanzo mwanzo ila kwa sasa wameshapoteana movies zao hazivutii tena
 
Hawa jamaa hawajaiona got nini, rikiboy anaifananisha Got na PR-break. Got ni unpredictable akili mingi ila Priaon break unajua kabisa hawa wanataka kufanya hv.
Duniani kuna series moja tu. Game of Thrones yaani hadi obama akawa anawapigia simu japo wamuhadithie muendelezo arosto inataka kumuua. Wanalinganisha na BB??
Kwanza ilivyoandikwa yaani ukiwa unasikiliza maongezi yao huchoki yaani. Script zimepangiliwa zikapangika. Tafuta mazungumzo ya Tywin Lannister na Jaime Lannister S1Ep8 wakati Tywin anachuna Deer. Yaani hutamani wamalize kuongea
 
Avengers sijafika huko bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naangalia drama za kawaida tuu

Naona kutokuangalia GOT imekua shughuli[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile series mimi niliangaliaga kipindi flani Nikaacha maana nikawa sielewi kabisaaa.. na zile ishu za Ushoga ndo kabisaa.. Ilaa baadae nikakomaa nielewe aiseee ni bonge moja la Series.. the summer is coming ukisikia hivyo juaa balaaaa lake si mchezo
 
Siwezi kukaa na kushangilia Sci-Fi hata siku moja, bora niangalie chaneli za wanyama at least nitajua muayo wa mamba unakuaje kuliko kuangalia tu tu tyulilu tuko Mars mara tyu tyu tupo Saturn. Garbage [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani hapanaa aisee...
 
Unamchukuliaje Paul Scheuring? PB ni bora mno though due to technological advancement kuna vitu vyake vingi vinaonekana outdated ko wati wanai-inderate. Kuiweka Money Heist na Squid game pamoja na PB ni kumkosea heshima P.Scheuring
[emoji28][emoji28] japo PB ipo juu ya ya hzo movies mbili ila hzo ndo zinaweza kukaa kundi moja sio kwa GOT Mkuu. kuna vjana wanaweza kukwambia hakuna movie kama money heist au kama squid game nawaonaga akili ndgo.
 
Back
Top Bottom