[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Fala sana wewe wale nlikuwa nawachukia sana, na walisubiriwa from season one wakaja season 8 balaa lao ni kubwa mnoo.Ile series walisema watairudisha kuonesha namna White walkers walitokeaa... Ila wale wambaaa nawakubalii maishaa yoteeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mamaee yani yule mwamba wao akifungua macho tu kumekuchaaaa... WALIVYOKUFAA WOTEE ILINIUMAA SANA
Japo nayo naona imepooza sana house of dragon yani action za kutafutaa sanaa.. Ngoja zifike season kadhaa ndo nianze kufatilia..!! Wale ndo wambaa yani balaa yakeee daaah hatari sanaa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Fala sana wewe wale nlikuwa nawachukia sana, na walisubiriwa from season one wakaja season 8 balaa lao ni kubwa mnoo.
Nahisi watakuja kuonesha walipotokea kwenye house of dragons
Mwamba ana busaraa sanaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hekimaa zilimuokoaaaa.
Siyo Season, ni SERIESBreaking Bad ndio season bora ulimwenguni so far.
kumbe bado ujaona series wwOkopa sana mwanaume anayeangalia series za kikorea🏃🏃🏃
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
your welcome,. am from the water trible Waterbenderaisee nimesahau hii series.... tamu balaaa....
View attachment 2603139
i am from the fire nation.....your welcome,. am from the water trible Waterbender
Walijitahidi jamaa.SIX FLYNG DRAGON ILE NI BALAAAA
my enermy lakin haunaga match hapai am from the fire nation.....
Naunga mkono ✋✋ hojaWakorea wanajitahidi ila kujitafuta kufikia "level" za Prison Break, 24 na nyingine kama hizo itawachukua muda mrefu mno
Naunga mkono ujinga ujinga mtupu .Halafu saa mbovu wengi sana huko.Naunga mkono ✋✋ hoja
Naunga mkono hoja...ongeza na breaking bad, money heist, lost....na nyingine nyingi! Lakini 24 iwe no 1.Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
We Jamàa kiboko, km DJ MarkThe Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters
Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)
Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
Korean drama wapo less sana....kimsingi wamevurugwa kinyama....sijawahi vutiwa nao....halafu...inaniboa zaidi kukomaa na sub muda wote utadhani nasoma kitabu kumbe naangalia motion pictures....!Naunga mkono ujinga ujinga mtupu .Halafu saa mbovu wengi sana huko.
Lazima kuwe na jehu moja na chawa mmoja wa star kila sehemu linamfata huku linajichetua .Useless.Korean drama wapo less sana....kimsingi wamevurugwa kinyama....sijawahi vutiwa nao....halafu...inaniboa zaidi kukomaa na sub muda wote utadhani nasoma kitabu kumbe naangalia motion pictures....!