dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Yan upo kama mimi...nikishaona mifarasi...helmet...mapanga..wafalme sijui....bora niangalie kwaya tuSeries za mafarasi na mikuki ,sjui mishale na mapanga huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
[emoji1787]Hayo mafarasi yanayokimbia ngidi ngidi ngidi ngidi hayo Kwa kweli hamnaa... Mi nahtaji za kijasusi Zaid , akili mingi na vyuma viwemo ndo naweza ketisha tako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha...kuwa msituni na ushoga vinahusiana niniKheeee[emoji849][emoji849][emoji849]na hiyo GOT ina ushoga
Sasa mbona mnaishabikia hivo
Na wale si wako misituni mambo ya ushoga walijulia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Jumong ni series ambayo kama kijana utajifunza Kila kitu Maisha, mapenzi ya dhati, uvumilivu,maumivu, subra,utulivu, unyenyekevu, UZALENDO,heshima, Nidhamu,akili, maarifa, busara, Uongozi, VITA, usaliti,Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho
pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana
kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
Najiona Mimi kabisa.Series za mafarasi na mikuki ,sjui mishale na mapanga huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
Yah ni hiyo ,demu ni wa Moto sana afu pisi kali kichizi ile style ata Viper Bang Ji Ali adaptHivi kuna yule dada alikuwa na style fulani anarusha juu kibakuli cha maji anatembeza mkono then anakidaka tena kwa upanga kikiwa na maji yupo kwenye six flying dragons eeh?
IRIS ni 🔥🔥🔥🔥Jumong,
A man called God
IRIS
Kuna series flan mshkaji anapiga panga balaa then atakuja kukatw mkono mmoja sword SaintIRIS ni 🔥🔥🔥🔥
Jumong nilitizama kipindi inaoneshwa ITV. Lakini siwezi kuipa namba moja.Tafuta nuda ukae uangalie
1. Jumong
2. Iris 1
Mm naomba adriz aje kuthibitisha hiliKuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho
pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana
kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
Jumong nilitizama kipindi inaoneshwa ITV. Lakini siwezi kuipa namba moja.
Jumong ni movie maarufu kwa muda wote kutoka Korea lakini sio Bora..... Kiasi cha kuwa namba moja kwa ubora watu wameweza baada ya Jumong.Jumong na Iris 1, kwa Korea hizi ndio zilikua bora zaidi
The best two Tv show zenye viwango vya juu kabisa duniani mpaka sasa hivi ni mbili tu GOT na Breaking Bad. Zingine zote ni porojo tu.Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .