Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Hhahahhhh subtitles , ila inshort wanaweza kwwnye uigizaji hasa hizi za intelligence security themes
 
Ukishanitajia tu Korea, na sura zao na wanavyoongea, wanavyovaa, wanavyokula, na wanavyobehave.... Umeniondoa kwenye line.
 
Kheeee[emoji849][emoji849][emoji849]na hiyo GOT ina ushoga
Sasa mbona mnaishabikia hivo
Na wale si wako misituni mambo ya ushoga walijulia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha...kuwa msituni na ushoga vinahusiana nini
 
Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong

Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho

pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana

kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
Jumong ni series ambayo kama kijana utajifunza Kila kitu Maisha, mapenzi ya dhati, uvumilivu,maumivu, subra,utulivu, unyenyekevu, UZALENDO,heshima, Nidhamu,akili, maarifa, busara, Uongozi, VITA, usaliti,
Ni series imeshiba.....

Mwendezo wake THE LAND OF WIND
 
Top 3 zangu pamoja na hyo

images (1).jpeg
 
Hivi kuna yule dada alikuwa na style fulani anarusha juu kibakuli cha maji anatembeza mkono then anakidaka tena kwa upanga kikiwa na maji yupo kwenye six flying dragons eeh?
Yah ni hiyo ,demu ni wa Moto sana afu pisi kali kichizi ile style ata Viper Bang Ji Ali adapt
 
Kwa wazee wa movie za akili mingi...
1. Devil judge
2. King hotel
3. King of Baking
4. King of the mask
5. A good thief bad thief.

Bonus: Gu Family Book

All in all Jumong na Iris ni habari nyingine.

Kuna pia upepo wa kina Bridal mask.. City hunter pamoja na My County in new age...


Asilimia 80% ya movie za series Kali iwe action ama love story ni za zamani 4 yrs kushuka chini mpaka 10 yrs hapo...

Sio Korea tu... Refer kwenye Merlin, Prison break, Mr and Mrs Smith, Spiderman, Harry Potter n.k...
 
Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong

Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho

pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana

kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
Mm naomba adriz aje kuthibitisha hili

Yni upo kama mimi Jumong natamani niirudie kila wakati

Haemosu,Jumong,Yuri,hype bo,Daeso,lady soseono,lady divine mauryung

Goguryeo,Buyeo aaahh we acha tu Jumong the best

Na A Man called god niliitafuta baada ya kujua Jumong ndo mhusika mkuu
 
Watu wengi hawajui movie, hawana uelewa mpana kuchambua movie, wameangalia movie chache, wanatafsiriwa movie, ni bendera fata upepo.
 
Back
Top Bottom