Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule sio kwamba anapenda mseleleko, maisha yalimchapa na dharau zikazidi akaona isiwe kesi. Ndio nikajua hakuna kitu inamuuma mwanaume kama kusaidiwa majukumu na mwanaume mwenzie[emoji1787]
Hahahahahaha ila kweli... Sema nikikumbuka vile vibao alivyokuwa anapigwaaaaa naishiwa poziiiiiii
 
The best two Tv show zenye viwango vya juu kabisa duniani mpaka sasa hivi ni mbili tu GOT na Breaking Bad. Zingine zote ni porojo tu.
Viwango VYA juu kwenye nini ?
1. Story
2. Location
3. List of actors and actress....
4. Realistic
5. Budget.

Toa miongozo sio kuzitaja zinaelea.
 
Hii series ni balaa na nusu, mimi nishaiangalia mara nyingi na bado siichoki

Akhi adriz
 
The land of wind nayo ilikuwa si mchezo, unaangalia hadi unaburudika
 
Korean drama wapo less sana....kimsingi wamevurugwa kinyama....sijawahi vutiwa nao....halafu...inaniboa zaidi kukomaa na sub muda wote utadhani nasoma kitabu kumbe naangalia motion pictures....!
🤣🤣🤣 Uzuri hawaongei haraka haraka, unapata hata muda wa kusoma subtitles
 
The best two Tv show zenye viwango vya juu kabisa duniani mpaka sasa hivi ni mbili tu GOT na Breaking Bad. Zingine zote ni porojo tu.
Sasa iyo GoT na Breaking Bad cjawahi ikuta kwa washikaji wote na Wahuni naona unatumia kichwa cha chini amka akili zikukae sawa
 
Huwez enda kwa washikaji 50+ ukakosa Six Flying Dragons ,prison break au Jumong ,Merlin , kingdom of winds ,Ijjimae
 
Series Kali ni prison break wazungu ni wakali tu lazima tukubar ,wakorea Mimi siwakubali na mifaras Yao movies napenda iwe na action plus ujasus mpenda ujasus nakusogezea safe house ya mzee Denzel Washington ni balaaa humo ndani
 
Bang Ji mapenzi yalimharibu, Lee Bang Won alipotaka kumuua Sambong alimtumia Yeon Hui. Bang Ji alikuwa body guard wa Sambong ila alipodanganywa na Mu Hyul alimuacha Sambong na kumuwahi Yeon Hui ambaye naye aliishia kuuawa.
Inaitwaje hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…