Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,810
- 2,844
Hahahahahaha ila kweli... Sema nikikumbuka vile vibao alivyokuwa anapigwaaaaa naishiwa poziiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule sio kwamba anapenda mseleleko, maisha yalimchapa na dharau zikazidi akaona isiwe kesi. Ndio nikajua hakuna kitu inamuuma mwanaume kama kusaidiwa majukumu na mwanaume mwenzie[emoji1787]