Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
-
- #381
The way wana igiza, nilikuwa najuaga ni kweli hizo falme bado zipoMimi siangalii kitu chochote katika movies isipokuwa series za kikorea tena za porini kifalme kizamani ,hizo ni noma sana jamaa wanajua ile mbaya.
Emperor of the sea nayo ni nzuri sanaMimi Jumong nimeitazama zaidi ya mara 4 ,na kila nikitazama naona kama muvi mpya yaani kuna vitu nagundua ambavyo siku vijua kabisa zamani ,ni muvi yenye akili mnonna mafunzo mengi sana.
Mimi series zangu kama nilitaka kuangalia ni Korea tu tena za zamani kijijini kuhusu historia na ufamle wazungu na wahindi kipindi hiko mdogo sana.Huyu jamaa ana movie yake nyingine ;
*Jang yeong-sill - ya kijijini imebase kuhusu mambo ya sayansi ila ni nzuri mno hiyo series ni shule tosha, japo imebase kwenye sayansi lakini wamebalance na kuingizie maudhui ya uongozi na chama za kiutawala ,ushupavu nk
*Emperor of the Sea - Hii nayo ya kijijini Star wa Jumong humo kama adui hii movie kwangu mimi badala ya Jumong hii ndio ya pili kwa ubora bado kidogo tu niseme hii ndio bora ya muda wote.Humo kuna shule kubwa ya kutokata tamaa ,nidhamu ,uaminifu nk.
Nakusanya data nikipata wasaa nitaandaa uzi maalaumu kwa ajili ya hiyo series ya Jumong pekee kukiwa na uchambuzi wa kina wa nyuma ya pazia kuhusu kila kitu.View attachment 2603386
Aisee Hidden roots na Six flying dragon nilizikubali sana hizo zingine sijazionaThe Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters
Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)
Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
Ya mwaka gani hii?Kuna ya hivi karibuni inaitwa the Knockout ya Mchina , nayo si Mchezo. Inaelezea umafia ufanywao na vyombo na viongozi wa serikali na Chama!
Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
Inapatikana website ipi?Six flying dragons
ππ.....kuna Lugha Ngumu ya kusumbua mtu mle?Kwa braking bad..labda lugha inakusumbua
Hii inafundisha sanaaaa....Six flying dragons
GOT ni best tv show tangu kuumbwa kwa adamu.Mimi za mafarasi mapanga na mishale ndio za kwangu hizo. Hizi za watu wamekaa kwenye macomputer kama nikita nilikuwa nazipenda enzi za ujana wangu chuo. Baada tu ya kutazama spartacus basi nikahamia jumla kwenye mapanga GOT ndio ikanimaliza zaidi
Mzee mzima jack bauer πKiukweli series ya 24 Hours ni next level kwenye huu ulimwengu wa sasa.
Ni nzuri pia π₯In to the bad land
Unataka kupakua au ku stream tu?Inapatikana website ipi?
Aisee πππ€£GOT ni best tv show tangu kuumbwa kwa adamu.
Ni nzuri pia ,ila sio saana......labda kwa upande wako utaikubali πNgoja nikaitafute hiyo royal gambler
True......Muvi za kukimbizana na magari sio mpenzi nazo wakorea wanastori nzuri hasa mambo ya siasa, fitina na usaliti kwa sababu ya madaraka huwa najifunza mengi
Hii nimeitazama mkuu, niliikubali pia. Imesukwa sana hiiTafuta The Veil ni korean series. Nikiandika sana nitaonekana naipa promo