Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Pambano la viper vs Gil Tae m compare na Mu hyul vs Gil sun m ni balaa
 
Royal gambler ni nzuri, ila ilikuwa ina boa kwa mbaali
 
Slave hunter pia ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Tatizo movies/series zao ni wao tu, hamna race ingine, hapo ndipo hollywood inachukua point, at least ile escape from Mogadishu niliikubali.
Hollywood nili "beast" kwenye masuala ya movies (single na series). Wakorea wana-deal na convo sana mengine bado japo wanajaribu kwa kuja na series kama Island na nyinginezo ambazo zinatengenezwa na Dragon(s) Studio
 
Jumong na chuno kwa wakorea kwangi ndo best. Napenda OST za humo. Ila kiujumla hapo ntaongeza GOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ