Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Yule demu anatumia Gukhsan method anachinja ile mbayaa yaani ni shedaaah
Anaitwa Cheok Sa Gwang, na ilibaki kidogo aondoke na kichwa cha Yi Bang Ji. Bila Mu Hyul kuja kumsaidia basi habari ya Yi Bang Ji ingeishia kule kule porini.

Mu Hyul ali-develop powerful blow kwa muda mfupi na ndicho alichokionesha baada ya kumtikisa Cheok Sa Gwan kwa mara ya kwanza alipowakuta wakipambana na Yi Bang Ji
 
Dragon ni kampuni ya kichina?
Hollywood nili "beast" kwenye masuala ya movies (single na series). Wakorea wana-deal na convo sana mengine bado japo wanajaribu kwa kuja na series kama Island na nyinginezo ambazo zinatengenezwa na Dragon(s) Studio
 
Series za mafarasi na mikuki ,mishale huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
Mimi za mafarasi mapanga na mishale ndio za kwangu hizo. Hizi za watu wamekaa kwenye macomputer kama nikita nilikuwa nazipenda enzi za ujana wangu chuo. Baada tu ya kutazama spartacus basi nikahamia jumla kwenye mapanga GOT ndio ikanimaliza zaidi
 
Game Of Thrones..

" I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs. And better yet a queen's legs."
 
My reign isn't over. My reign has just begun. Daenarys Taegaryn. Huyu dada namkubali sana. Kwenye GOT napenda every convo mle
 
Hapo walikuwa kwenye windo hatari la kwenda kumdaka mtaalamu song tae ha

Ila hio series nayo ni 🔥🔥🙌🙌
Hii series ni moto sana. Namkumbuka yile jamaa anawaambia huwa hawaamini wanasiasa mara tu jamaa baada ya kumwambia kuwa kuna deal la kwenda kumfuata yule general aliyetoroka. He was right maana lile deal lilikuwa batili
 
Yule demu anatumia Gukhsan method anachinja ile mbayaa yaani ni shedaaah
images (1).jpeg
images.jpeg
 
Okopa sana mwanaume anayeangalia series za kikorea🏃🏃🏃
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
Hao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horror
 
Hao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horror
Waliondoka na idea ya A good doctor kumhusu daktari Park Si Oh
 
Back
Top Bottom