mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
jikaze mwanaume..... weka subtitlesHivi vitu mimi huwa sivielewagi š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jikaze mwanaume..... weka subtitlesHivi vitu mimi huwa sivielewagi š¤£
Tafuta IslandAlchemy of Souls niliipenda sana season 1 ila season 2 niliangalia tu kukamilisha ratiba. Nadhani nilikuwa attached sana na FL wa season 1
Yi in jwa ndio alikuwa king geumwa kwenye jumongHaumkumbuki hata baba yake Baek Dae Gil yule mzee mcheza kamari (Baek Ma Gyung) ambaye aliishia kuporwa mke na mfalme Sukjong baada ya kumbeti mkewe na mpango ukiwa umesukwa na mzee Yi In Jwa ambaye inadaiwa kiasili alikiwa na vinasaba vya mfalme Yi Songye na mfalme Yi Bang Won
Zina uongo mwingijikaze mwanaume..... weka subtitles
Kwa hiyo na wewe ni wa Western?kabisa.... sisi za western ziko deep sana, kuliko wakorea mapenzi tu ya kipuuzi...
Alikuwa mnoko sana na alitumia udhaifu wa Yeoning na Baek Dae Gil kwa kale kademu ambako kalikuwa kanawazuzuaYi in jwa ndio alikuwa king geumwa kwenye jumong
Humu kwenye the royal gambler alikuwa ananikera sana š¤£
ndio..... sijaja kwa ubaya lakini šKwa hiyo na wewe ni wa Western?
Ina mazombi. SitakiTafuta Island
View attachment 2602980
Uwii sikumbuki hataHaumkumbuki hata baba yake Baek Dae Gil yule mzee mcheza kamari (Baek Ma Gyung) ambaye aliishia kuporwa mke na mfalme Sukjong baada ya kumbeti mkewe na mpango ukiwa umesukwa na mzee Yi In Jwa ambaye inadaiwa kiasili alikiwa na vinasaba vya mfalme Yi Songye na mfalme Yi Bang Won
Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvuIle njia ya kukimbia na kuchinja kwa haraka Yi Bang Ji naye alii-master alipopigana na Gil Tae Mi kule maeneo ya sokoni. Tae Mi alikuwa ameshaua wanajeshi wengi na watu walibaki motowakimuogopa na kama sio Yi Bang Ji sijui hali inhekuwaje.
Tae Mi alimuuliza unaitwa nani maana nimekutana na shujaa, muda huo hata Mu Hyul naye alitamani kupambana na Gil Tae Mi ila Bang Ji alimuwahi.
Whatever man...Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
Hamna mazombi ila ina story kama Bulgasal (The Immortal Souls)Ina mazombi. Sitaki
choi kang chi ndo ina ukweli??Zina uongo mwingi
Hapo ndo alikuwa ananikeraAlikuwa mnoko sana na alitumia udhaifu wa Yeoning na Baek Dae Gil kwa kale kademu ambako kalikuwa kanawazuzua
Gu family bookchoi kang chi ndo ina ukweli??
Bang Ji mapenzi yalimharibu, Lee Bang Won alipotaka kumuua Sambong alimtumia Yeon Hui. Bang Ji alikuwa body guard wa Sambong ila alipodanganywa na Mu Hyul alimuacha Sambong na kumuwahi Yeon Hui ambaye naye aliishia kuuawa.Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvu
Hivi kuna yule dada alikuwa na style fulani anarusha juu kibakuli cha maji anatembeza mkono then anakidaka tena kwa upanga kikiwa na maji yupo kwenye six flying dragons eeh?Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvu
Umeangalia six flying dragonSeries za korea nimeangalia nyingi sana kwa upande wangu
Lakini hizo mbili sijaona mpinzani wake [emoji119][emoji119]
Hivyo eeh? Najuaga kuna mazombiHamna mazombi ila ina story kama Bulgasal (The Immortal Souls)