gabby jacoby
Member
- Dec 12, 2018
- 45
- 154
Ni hatari mnoTafuta The Veil ni korean series. Nikiandika sana nitaonekana naipa promo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari mnoTafuta The Veil ni korean series. Nikiandika sana nitaonekana naipa promo
Hata mimi sipo kwa ubaya [emoji23][emoji23]ndio..... sijaja kwa ubaya lakini [emoji23]
sijaiona ila western ndo napendaga....We upo hapa
View attachment 2602988
Sio mazombi ya kutisha mno. Ila ukiangalia mpaka episode ya nne unajikuta kwenye kaugonjwa ka Cult following kwa main character wa kike ambaye anatafutwa kwa ajili ya kuuawa.Hivyo eeh? Najuaga kuna mazombi
Iangalie na hautajutiasijaiona ila western ndo napendaga....
squid game kali aisee 😂Me kwangu ni The Squad game....
Kuna SEEmnaopenda za kikorea lakini mnataka kucheki na western anzeni na 'Game of Thrones' itawafaa....
View attachment 2602989
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]choi kang chi ndo ina ukweli??
Haija izidi jumongUmeangalia six flying dragon
Anaitwa chuck sa gwa ni shidaaaaHivi kuna yule dada alikuwa na style fulani anarusha juu kibakuli cha maji anatembeza mkono then anakidaka tena kwa upanga kikiwa na maji yupo kwenye six flying dragons eeh?
Squid game nzuri sana [emoji119]Me kwangu ni The Squad game....
💯Series za korea nimeangalia nyingi sana kwa upande wangu
Lakini hizo mbili sijaona mpinzani wake 🙌🙌
Yan me naipenda kwa sababu na mm napenda mseleko kama yule kaka (Betting)squid game kali aisee 😂
Yule mwamba starring kwenye the veil nilimkubali sana 🔥🔥Ni hatari mno
wadada na nyie mnabet 😂Yan me naipenda kwa sababu na mm napenda mseleko kama yule kaka (Betting)
Sana na zaidi ya sana.... hivi nyingine itatoka lini???Squid game nzuri sana [emoji119]