Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Alchemy of Souls niliipenda sana season 1 ila season 2 niliangalia tu kukamilisha ratiba. Nadhani nilikuwa attached sana na FL wa season 1
Tafuta Island
Island_(2022_TV_Series).jpg
 
Haumkumbuki hata baba yake Baek Dae Gil yule mzee mcheza kamari (Baek Ma Gyung) ambaye aliishia kuporwa mke na mfalme Sukjong baada ya kumbeti mkewe na mpango ukiwa umesukwa na mzee Yi In Jwa ambaye inadaiwa kiasili alikiwa na vinasaba vya mfalme Yi Songye na mfalme Yi Bang Won
Yi in jwa ndio alikuwa king geumwa kwenye jumong

Humu kwenye the royal gambler alikuwa ananikera sana 🤣
 
Haumkumbuki hata baba yake Baek Dae Gil yule mzee mcheza kamari (Baek Ma Gyung) ambaye aliishia kuporwa mke na mfalme Sukjong baada ya kumbeti mkewe na mpango ukiwa umesukwa na mzee Yi In Jwa ambaye inadaiwa kiasili alikiwa na vinasaba vya mfalme Yi Songye na mfalme Yi Bang Won
Uwii sikumbuki hata
 
Ile njia ya kukimbia na kuchinja kwa haraka Yi Bang Ji naye alii-master alipopigana na Gil Tae Mi kule maeneo ya sokoni. Tae Mi alikuwa ameshaua wanajeshi wengi na watu walibaki motowakimuogopa na kama sio Yi Bang Ji sijui hali inhekuwaje.

Tae Mi alimuuliza unaitwa nani maana nimekutana na shujaa, muda huo hata Mu Hyul naye alitamani kupambana na Gil Tae Mi ila Bang Ji alimuwahi.
Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvu
 
Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
Whatever man...
 
Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvu
Bang Ji mapenzi yalimharibu, Lee Bang Won alipotaka kumuua Sambong alimtumia Yeon Hui. Bang Ji alikuwa body guard wa Sambong ila alipodanganywa na Mu Hyul alimuacha Sambong na kumuwahi Yeon Hui ambaye naye aliishia kuuawa.
 
Ni balaa sana ila mm naona Bang Ji na side way run Ina efficiency kuliko ile kulipitia kitu Kati.Mu Hyul kinachomsaidia ni mwili na miguvu
Hivi kuna yule dada alikuwa na style fulani anarusha juu kibakuli cha maji anatembeza mkono then anakidaka tena kwa upanga kikiwa na maji yupo kwenye six flying dragons eeh?
 
Back
Top Bottom