Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #601
The lion doesn't concern himself with opinions of the sheep 🐑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sijaona Veil na Royal Gambler... Ntazitafuta....The Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters
Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)
Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
Sasa ni ya kikorea Ile mbona unaweka limao mboga ya Nazi kiongozi ....Breaking Bad ndio season bora ulimwenguni so far.
Umeamgalia Vagabond!!??Tatizo movies/series zao ni wao tu, hamna race ingine, hapo ndipo hollywood inachukua point, at least ile escape from Mogadishu niliikubali.
Slave hunter/Chuno.... Hatari na nusu .... Kuna kitu Cha kuitwa God of War 🙌🙌🙌Slave hunter pia ni 🔥🔥
Hapana mkuu ya mwaka ganiUmeamgalia Vagabond!!??
Hiizi nimeshangalia mpaka sasa na sifutiYes Chuno bonge moja la series. Story yake kali inaburudisha na kusikitisha. Yani slave hunter na jumong ndo 2 of my favorite korean series
Hapa nimecheki Alchemy of souls .... Ila mauchawi uchawi watu wanapaaa sipendagi sana ....niikishiwa ndio naangalia ila nafuta ....Kuna hizi
- Alchemy of Souls Season 1 & 2
- Island
- Tomorrow
- Secret.Romance.Guest House
- Signal
- Tomorrow
- Tale of nine tailed Fox
- Blue Birthday
Sasa weweeee kimombo Cha kusikiliza na Cha kuangalia huku unasoma subtitles kipi kgumu kufanya!!?? ... Hata series hizo tumeangalia mnoo sio siku hizi mnaenda kuchukua kwenye flash mnapakua mitandaoni ... Prisonbreak , 24, Allias ..yaani zilikuwa unazifata kwa oda ..pack la cd hilooo original kabisa ...usijifanye mjuaji ..... 2004/6 huko ulikuwa wapi mdogo wangu ...watu tupo machuo kikuu huko ....tunajirusha na macd originalKwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
Hivi kinachowadanganya kuwa wanaongalia za kikorea hawaaangalii za Hollywood ni nani!!? Hii nimeangalia season zote mpaka mwendelezo wake wa sasa naendelea nao acheni ushamba ...Fungueni uzi wa maseries ya kizungu halafu nitag muone nyakavyowachachafya .... Huu ni uzi wa kikorea mnalazimisha za Hollywood... Fungueni halafu niTAG tuwashangaze/ niwashangaze...mnaopenda za kikorea lakini mnataka kucheki na western anzeni na 'Game of Thrones' itawafaa....
View attachment 2602989
sijaja kwa shari....Hivi kinachowadanganya kuwa wanaongalia za kikorea hawaaangalii za Hollywood ni nani!!? Hii nimeangalia season zote mpaka mwendelezo wake wa sasa naendelea nao acheni ushamba ...Fungueni uzi wa maseries ya kizungu halafu nitag muone nyakavyowachachafya .... Huu ni uzi wa kikorea mnalazimisha za Hollywood... Fungueni halafu niTAG niwashangaze...
See ..hii ya Momoa (BABA VOS) ... Wasioona au SEE ipi ... Humu ni Korea Mzee ... Nnayo see mpaka s3 upo dingi ...Kuna SEE
Sikisharishi nakupa taarifa black and white dingi.... Acheni hizo mbanga ... Yaani Pepa la histori wewe unajibu kwa notice za chemistry... lazima muambiwe mnakosea jombaa... Bless ... Ndio nausoma nimekuta ...napitapita nikasema niingiemo nione kama ntapata mbili tatu ambazo sijaona mara paaap ... Hollywood ... Sio kwa ubaya ...maudhui ya uzi yaheshimiwe ...hivyo tu dingi ...kama unapenda sana za Hollywood anzisha uzi ... Tutakuja huko kupashana habari jombaa.... Barikiwa ... Am out..sijaja kwa shari....
Nshaimaliza na ilitoka Mini series (Spartcus:God of Arena)mwanaume rijali atakua ameshaimaliza hii
View attachment 2603026
kali sanaNshaimaliza na ilitoka Mini series (Spartcus:God of Arena)
Watu wanakunjana kinyama kama series ya "ROME" ... mshamba_hachekwi tafuta hiyo Rome uone Spartacus inavyongoja ...Kuna majamaa yalikuwa yanapanga foleni kwenye vibanda umiza kisa tu hii series 🤣
ntazingatia mkuu 😂Watu wanakunjana kinyama kama series ya "ROME" ... mshamba_hachekwi tafuta hiyo Rome uone Spartacus inavyongoja ...
Kaangalie "BETTER CALL SAUL"..... Zinaendana Moja ni muendelezo wa yenzake... Utaunganisha story mwenyewe utatudi hapa kunishukuru....bro we mjanja mjanja umeangalia 'Breaking Bad'😂