Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Nilmeangalia

GOT
VIKINGS
INTO THE BADLAND
POWER
PRISON BREAK
THE LASTSHIP
NARCOS
OZARK
Ongeza nyinginee nyingii..

Ila

BREAKING BAD NI FUNGA KAZI.
Nimeiona zote hizo...
Barbarians
El Chapo
Narcos
Narcos Mexico
The Last Kingdom
The wire
Seal team
The Dome
Revenge
Marco Polo
Blindspot
Knightfals
Snowball
The chi
Brown Sugar

...
 
Kuna series flan mshkaji anapiga panga balaa then atakuja kukatw mkono mmoja sword Saint
Worrior Baek Dong Soo hiyo ...alikuwa na best sword man ndio akaitwa Sword saint ... Wakampangia plot Ili amuokoe yule kijana aidha akatwe Mkono au kijana auliwe ....akakubali akatwe Mkono...
 
Mm naomba adriz aje kuthibitisha hili

Yni upo kama mimi Jumong natamani niirudie kila wakati

Haemosu,Jumong,Yuri,hype bo,Daeso,lady soseono,lady divine mauryung

Goguryeo,Buyeo aaahh we acha tu Jumong the best

Na A Man called god niliitafuta baada ya kujua Jumong ndo mhusika mkuu
Naona umeamua kumuita mwamba adriz kabisa .....
 
The way wana igiza, nilikuwa najuaga ni kweli hizo falme bado zipo

Kumbe ni historical drama

Wanajua sana 🔥🙌
Falme zilikuwapo ndio hizo Monchuria,Mongolia, North Korea , south Korea na China hizi nchi zote ndio zilikuwa zinatawaliwa na hao wafalme kwa maana ya QIN DYNASTY, HAN DYNASTY, KHITAN, JURCHENS, MONGOLS, HAN DYNAST, JOSEON, GORYEO, GOGURYEO, BUYEO, BAEKYE, SILLA, GAYA .... Ni historical/mediaval series kama tu Vikings, Rome na zinginezo za mediaeval era ...wenzetu wametunza historia Yao sisi ukiuliza ya za makabila yetu miaka 200 tu nyuma hapo chenga...
 
Humo kila mtu ana mission yake haijakaa kifalme wanamalizana kimtaa mtaa
Unaambiwa Usimshangae "tajiri kumnyonya maskini" kwani hiyo ni asili tangu enzi na enzi.... "chenye nguvu kukiponda kilicho dhaifu "
Kila episode ni mikono ya kutosha ....haipoi
 
Nimeiona zote hizo...
Barbarians
El Chapo
Narcos
Narcos Mexico
The Last Kingdom
The wire
Seal team
The Dome
Revenge
Marco Polo
Blindspot
Knightfals
Snowball
The chi
Brown Sugar

...
Blindspot nimeiona.....hii series ni ya moto sana......jamaa wanajua
 
Hii list ni fake, umeshawahi angalia king gwangaeto wewe? Kaangalie uje utaje tena
Usifananishe Jumong na upuuzi wa King gwangaeto ,King gwangaeto mpangilio wa matukio mbovu Jumong inamtiririko mzuri wa visa na unaweza irudia hata mara 7 kila mara ukaiona kama mpya.

Halafu ndani ya Jumong mlemle director angeweza kuishia mapema hata episode ya 20 na movies ingesisimua na ndani yake zinaweza kutoka picha nyingine kama tatu zikaeleweka .

Vita ya Imboo na Yimdoom director kilaza angeweza kumaliza mchezo pale mapema tu ,hiyo Gwangaeto haigusi hata kwa Land of wind wala Emperor of the SEa.
 
Back
Top Bottom