Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Hapa sijaona Veil na Royal Gambler... Ntazitafuta....
 
Yes Chuno bonge moja la series. Story yake kali inaburudisha na kusikitisha. Yani slave hunter na jumong ndo 2 of my favorite korean series
Hiizi nimeshangalia mpaka sasa na sifuti
Queen Seondeok
Warrior Baek Dong Soo
Bridal Mask
God of War
Slabe Hunter
Man Called God
Arthdal Chornicles
My Country: New Age
Kim So Roo
Dong Yi
Yi San
Sungkyunkwan Scandal
The Kingdom of winds
Emperor of the sea
Empress Ki
Empresa Cheonchu
Bossam
Haechi
Iljimae
Jewel in the Palace
Kingmaker : The Change of destiny
Joseon Gunman
Gu Family Book
King Geunchogo
GyeBaek
King Gwanngaeto
Emperor Wang Gun
Poong :The joseon physiatrist
Royal Secret agent
The crowned clown
.....
Kuna uzi wa "series za kikorea" ni wa kitambo mnoooo ... Ni wewe na mapenzi Yako mi napenda sana mapanga shwaraaaaaaa... kuuungeeekeeaaaaa...... Yaani hapo ni mishale na mapanga kwenda front
 
Kuna hizi
  1. Alchemy of Souls Season 1 & 2
  2. Island
  3. Tomorrow
  4. Secret.Romance.Guest House
  5. Signal
  6. Tomorrow
  7. Tale of nine tailed Fox
  8. Blue Birthday
Hapa nimecheki Alchemy of souls .... Ila mauchawi uchawi watu wanapaaa sipendagi sana ....niikishiwa ndio naangalia ila nafuta ....
 
Kwa macho madogo series nilizo angalia na kuzielewa ni
Alchemy of souls na moon lovers
 
Sasa weweeee kimombo Cha kusikiliza na Cha kuangalia huku unasoma subtitles kipi kgumu kufanya!!?? ... Hata series hizo tumeangalia mnoo sio siku hizi mnaenda kuchukua kwenye flash mnapakua mitandaoni ... Prisonbreak , 24, Allias ..yaani zilikuwa unazifata kwa oda ..pack la cd hilooo original kabisa ...usijifanye mjuaji ..... 2004/6 huko ulikuwa wapi mdogo wangu ...watu tupo machuo kikuu huko ....tunajirusha na macd original
 
mnaopenda za kikorea lakini mnataka kucheki na western anzeni na 'Game of Thrones' itawafaa....
View attachment 2602989
Hivi kinachowadanganya kuwa wanaongalia za kikorea hawaaangalii za Hollywood ni nani!!? Hii nimeangalia season zote mpaka mwendelezo wake wa sasa naendelea nao acheni ushamba ...Fungueni uzi wa maseries ya kizungu halafu nitag muone nyakavyowachachafya .... Huu ni uzi wa kikorea mnalazimisha za Hollywood... Fungueni halafu niTAG tuwashangaze/ niwashangaze...
 
sijaja kwa shari....
 
sijaja kwa shari....
Sikisharishi nakupa taarifa black and white dingi.... Acheni hizo mbanga ... Yaani Pepa la histori wewe unajibu kwa notice za chemistry... lazima muambiwe mnakosea jombaa... Bless ... Ndio nausoma nimekuta ...napitapita nikasema niingiemo nione kama ntapata mbili tatu ambazo sijaona mara paaap ... Hollywood ... Sio kwa ubaya ...maudhui ya uzi yaheshimiwe ...hivyo tu dingi ...kama unapenda sana za Hollywood anzisha uzi ... Tutakuja huko kupashana habari jombaa.... Barikiwa ... Am out..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…