Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Hizi ni single movie zipo kama 6 ..Kuna Inferno, The Begining , Tokyo ,final na Origin kama kumbukumbu zipo sawa jamaa anatumia panga lisilo na makali ...anawagongesha kinoma ....kaangalie na hii "Swordsman' .... Ni single movie ya kikorea ...Kuna hii chuma ya Japan
View attachment 2603041
Katafute na series ya DAMNATION ......wanaume tukutane hapa....
View attachment 2603045
Nimeiona zote hizo...Nilmeangalia
GOT
VIKINGS
INTO THE BADLAND
POWER
PRISON BREAK
THE LASTSHIP
NARCOS
OZARK
Ongeza nyinginee nyingii..
Ila
BREAKING BAD NI FUNGA KAZI.
Walitoa muendelezo wake Scofield kafungwa Yemen wakashindwa kuiendeleza mpaka leo tangu 2017 hukoPB ingeshushwa 2022 au 2021 ingekuwaje?
Worrior Baek Dong Soo hiyo ...alikuwa na best sword man ndio akaitwa Sword saint ... Wakampangia plot Ili amuokoe yule kijana aidha akatwe Mkono au kijana auliwe ....akakubali akatwe Mkono...Kuna series flan mshkaji anapiga panga balaa then atakuja kukatw mkono mmoja sword Saint
Naona umeamua kumuita mwamba adriz kabisa .....Mm naomba adriz aje kuthibitisha hili
Yni upo kama mimi Jumong natamani niirudie kila wakati
Haemosu,Jumong,Yuri,hype bo,Daeso,lady soseono,lady divine mauryung
Goguryeo,Buyeo aaahh we acha tu Jumong the best
Na A Man called god niliitafuta baada ya kujua Jumong ndo mhusika mkuu
Falme zilikuwapo ndio hizo Monchuria,Mongolia, North Korea , south Korea na China hizi nchi zote ndio zilikuwa zinatawaliwa na hao wafalme kwa maana ya QIN DYNASTY, HAN DYNASTY, KHITAN, JURCHENS, MONGOLS, HAN DYNAST, JOSEON, GORYEO, GOGURYEO, BUYEO, BAEKYE, SILLA, GAYA .... Ni historical/mediaval series kama tu Vikings, Rome na zinginezo za mediaeval era ...wenzetu wametunza historia Yao sisi ukiuliza ya za makabila yetu miaka 200 tu nyuma hapo chenga...The way wana igiza, nilikuwa najuaga ni kweli hizo falme bado zipo
Kumbe ni historical drama
Wanajua sana 🔥🙌
Kila episode ni mikono ya kutosha ....haipoiHumo kila mtu ana mission yake haijakaa kifalme wanamalizana kimtaa mtaa
Unaambiwa Usimshangae "tajiri kumnyonya maskini" kwani hiyo ni asili tangu enzi na enzi.... "chenye nguvu kukiponda kilicho dhaifu "
Munno na mwanafunzinwake Bidam ... Bidam ni mnyama sana.....The great queen sendoek .....
Hii series wakorea waheshimiwe tu
Munno ilikuwa ni balaa sanaMunno na mwanafunzinwake Bidam ... Bidam ni mnyama sana.....
🔥🔥Slave hunter/Chuno.... Hatari na nusu .... Kuna kitu Cha kuitwa God of War 🙌🙌🙌
Blindspot nimeiona.....hii series ni ya moto sana......jamaa wanajuaNimeiona zote hizo...
Barbarians
El Chapo
Narcos
Narcos Mexico
The Last Kingdom
The wire
Seal team
The Dome
Revenge
Marco Polo
Blindspot
Knightfals
Snowball
The chi
Brown Sugar
...
Kulikuwa hakuna mambo ya ushoga ulikuwa upendo wa kirafiki .View attachment 2603270
Relationship ya hawa jamaa mliielewaje? Haikua ya 🏳️🌈kweli?!
Usifananishe Jumong na upuuzi wa King gwangaeto ,King gwangaeto mpangilio wa matukio mbovu Jumong inamtiririko mzuri wa visa na unaweza irudia hata mara 7 kila mara ukaiona kama mpya.Hii list ni fake, umeshawahi angalia king gwangaeto wewe? Kaangalie uje utaje tena
Unayo iliyotafsiriwa au kwa subtitles.Dong yi sina mkuu
Ila emperor of the sea ninayo complete series
Huyo jamaa mzee wa mipango nyuma ya pazia ,mzee wa fitina kaupiga mwingi kuhusu ushauri katika mambo ya kitaifa.Prime minister mwenyewe utasikia "Pyehaaaaa" au "Chonaaaaa"
View attachment 2614954
Sijaiona vipi ni kali ?The great queen sendoek .....
Hii series wakorea waheshimiwe tu
Kali sana 🔥🔥 itafute uichekiSijaiona vipi ni kali ?
Yenye english subtitlesUnayo iliyotafsiriwa au kwa subtitles.